Huyu ndiye mchumba wangu

Wa Nyumbani

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
438
Reaction score
67
Kijana alimpeleka mchumba wake nyumbani ili wazazi wake wakamwone. Alipofika naye tu, baba yake akagundua dosari, maana binti alikuwa mweusi sana, ana matege ya ndani na makengeza makali. Msichana ili kumvutia baba mkwe akaona atabasamu kidogo. Lahaula! alikuwa na mapengo meno yote ya mbele! Baba akaamua kumpeleka kijana wake nje wakaongee.
Baba: Kijana hebu twende nje kidogo
Kijana: sema tu hapa hapa, mchumba wangu ni kiziwi!
Baba akaduwaaa!!!
 
Reactions: Idd
ama kweli huyo bonge la mchumba. Na mimi nimempenda ghafla.
 
Huyo dada hakuchagua awe hivyo jinsi alivyo, na yeye ana haki ya kupendwa!
 
Reactions: BAK

jamani siri ya mtungi huijua ................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…