Huyu ndiye mbumbuli,si mchezo

Huyu ndiye mbumbuli,si mchezo

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
1,389
Reaction score
285
Maji si shida bumbuli? Je barabara safi?vipi kuhusu umeme tunamkumbuka Shelu? Charity begin at home bwana Makamba.
 
Hapa ubungo bado hatujapata hayo maji y bumbuli
 
si alipita bila kupingwa , kwani aliwaahidia wapi na ili hali hakufanya kampeni ? Acheni kumsingizia mtoto wa watu hata isingekuwa bumbuli angeteuliwa tu !
 
Back
Top Bottom