Huyu ndiye lowassa.....!!!!!

Status
Not open for further replies.
Kuchangia shughuli za maendeleo na kidini ukiwa na uwezo ni jambo jema
 
Lowasa ndiye rais 2015 mtakaonuna na mnune mtakaolia na mlie habari ndo hiyoooo
 
Aiseee babaangu mbona waislamu hawapi msaada???
 
Heri (baraka) iko kwa anayetoa na si kwa anayepokea. Hujayasoma haya katika kitabu cha Matendo ya Mitume?
 
Je Huyu Muheshimiwa analipa kodi kweli kwa hela Zote anazopeleka Huko Madhabauni na Marobota?
 
mmmmh yaan unamwibia mtu alafu kesho yake unamletea mwanae pipi na biscuits?does it make sense?think big meeen.
 
Aiseee babaangu mbona waislamu hawapi msaada???

Naamini hawaja mkaribisha kwenye harambee zao, kwan EL haombi yeye kwenda kwenye hizi harambee za makanisa bali hualikwa,na tumeona habagui dhehebu ingawa yeye ni Mlutheri, hebu wamualike afu tupate pa kuanzia mjadala!!
 
nadhani maana yake ukiwa unatoa msaada usipende kujitangaza, unapomsaidia mtu basi toa huo msaada kimya kimya.

Hii kwenye medani za kisiasa haifanyi hazi. Watu wanatafuta wider political landscape.
 
kutoa baada ya kuiba inasaidia nini hata hizi dini na viongozi wake ni matatizo tu ndio maana watu wengine hawataki kuikia dini na hao naamini wako huru zaidi.
 
nadhani maana yake ukiwa unatoa msaada usipende kujitangaza, unapomsaidia mtu basi toa huo msaada kimya kimya.

kwani bwana EL ametangaza wapi kwamba katoa kiasi gani kwenye harambee hizo?!??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…