Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,574
- 12,318
Watu bwana mna vituko sana halafu nashangaa kuna watu humu wanatokwa povu kana kwamba wamelazimishwa
Shida mnanyege za habari mbaya tuuu, mwenye mada hajazungumzia madawa ya kulevya lakini wewe ukaja ukitegemea kukuta mtu wa madawa ya kulevya.Nmekimbilia kufungua nikajua nakutana na gwiji la madawa ya kulevya.. Kumbe ujinga ujinga