Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,249
Tuwe makini na watoto wetu haswa wa umri huu.
kuwahi kote huku nakutana na litoto limejifukiza unga mwili mzima, dah!!
Ohoooo!!!Unamdudu kwenye ubongo
Tuwe makini na watoto wetu haswa wa umri huu.
We Jamaa mtu wa ajabu sana..umefikiria mpaka mwisho ndo ukaamua ku-post ujinga huu..Ovyo kabisa wewe.Tuwe makini na watoto wetu haswa wa umri huu.