HUYU; ndiye aliyeongoza kwa kusemwa na wanajf wk hii!

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Huyu si mwingine ni PAULO, Makonda sababu za kusemwa sana ni hizi

kwanza kitendo cha kumpigia simu raisi, dhidi ya kelo za wananchi, wapo walio pinga kitendo hicho kwani raisi ni ngazi kubwa zilikuwepo za chini. ya raisi.
pili kauli yake ya kusema watumishi wengi ni wapiga stori osifini, kwa ili ni kweli sisi watumishi wa umma ni wapiga stori na si watendaji.

Tatu ilikuwa kauli yake dhidi ya kamanda SILLO, dhdi ya shisha, kwa ili lilikuwa la wki iliyopita ila Mh hakufanya poa maana yule mzee ni miongoni mwa wasafi sana.

naomba kuwakilisha.
 
Sawa..
Hujakosea mleta uzi.

Huyu ndio Kinara kwa karibu wiki mbili sasa.

Hilo la kumpigia Rais linaonyesha kabisa kulikuwa na mawasiliano baina yao kabla maana Rais si mtu anaekuwa na mobile fon muda wote kama watu wa kawaida...

Kwaiyo ni kitu kilichopangwa...
SIFA ZA KUTENGENEZA.
 
It sounds kama tunajibizani na "on behalf of myself"?
 
Sawa..
Hujakosea mleta uzi.

Huyu ndio Kinara kwa karibu wiki mbili sasa.

Hilo la kumpigia Rais linaonyesha kabisa kulikuwa na mawasiliano baina yao kabla maana Rais si mtu anaekuwa na mobile fon muda wote kama watu wa kawaida...

Kwaiyo ni kitu kilichopangwa...
SIFA ZA KUTENGENEZWA.
haaaa, asante kwa ufufanuzi mkuu naamini juu ya simu kwa raisi maana ww unasili nyimngi za utendaji wa ikulu.
 
Utakufa tu mwenyewe akiamua hata usiku wa leo
wewe umesoma avator au kilicho andikwa chini ya avator hii ndo picha ya vinyumbu vya pale mnazi mmoja, hampendi kusoma mnapenda kuangalia picha na kuendelea mbele. kifo ntakufa ILA NIMEPISHANA NA MISHALE MINGI SINA BUDI KUITWA sifileo.
 
Sawa..
Hujakosea mleta uzi.

Huyu ndio Kinara kwa karibu wiki mbili sasa.

Hilo la kumpigia Rais linaonyesha kabisa kulikuwa na mawasiliano baina yao kabla maana Rais si mtu anaekuwa na mobile fon muda wote kama watu wa kawaida...

Kwaiyo ni kitu kilichopangwa...
SIFA ZA KUTENGENEZA.

Nakumbuka ile barua kwamba ndio kwanza naifungua kuisoma ili wote msikie,

lakini kwy maelezo ikajulikana aliisha isoma na kuijibu.
 
wewe umesoma avator au kilicho andikwa chini ya avator hii ndo picha ya vinyumbu vya pale mnazi mmoja, hampendi kusoma mnapenda kuangalia picha na kuendelea mbele. kifo ntakufa ILA NIMEPISHANA NA MISHALE MINGI SINA BUDI KUITWA sifileo.

Unautani na Vibendera wa Cdm wewe
Avator unaisomaje?
Utakufa tu mwenyewe akiamua hata Leo usiku
 
Sawa..
Hujakosea mleta uzi.

Huyu ndio Kinara kwa karibu wiki mbili sasa.

Hilo la kumpigia Rais linaonyesha kabisa kulikuwa na mawasiliano baina yao kabla maana Rais si mtu anaekuwa na mobile fon muda wote kama watu wa kawaida...

Kwaiyo ni kitu kilichopangwa...
SIFA ZA KUTENGENEZA.
Hapo ni ilikuwa zaid ya Bongo movie!!!
 
Back
Top Bottom