Huyu ndiye Aidan Msuya anayedaiwa kuhusika na jaribio la kumteka mwanaharakati Hamza Mshabaha nchini Kenya

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
1772088955184.png

Ameandika Hilda Newton

Majina yake anaitwa Aidan Francis Msuya wengi humwita Danny, ni mtoto wa Mzee Msuya ambaye alikuwa mtumishi wa kawaida UDSM siyo Profesa.

Msuya amesoma shule ya Msingi Mlimani (UDSM), Secondary amesoma Tambaza na baadae akamalizia Mikoani.

Soma > Wanaodaiwa kuwa Watanzania wakamatwa nchini Kenya wakijaribu kumteka Mwanaharakati Mshabaha Hamza

Amezaliwa na kukulia Ubungo Msewe kwa Baba na mama yake na hapo hapo kwao kwanyuma ndiyo amejenga ghorofa lake japo kwasasa Wazazi wake wanaishi Kibaha-Mkoa wa Pwani.

Msuya anawatoto wa kike wote wapo watano na Mke wake muhaya maarufu kama Mama Ivana.

Msuya alishawahi kufanya kazi Airtel ila akafukuzwa bada ya kufukuzwa Airtel akawa mfanyabiashara wa kawaida.

Msuya aliingia CHADEMA 2014 akagombea Uenyekiti wa Serikali ya mtaa Ubungo Msewe akashinda kwa kumuondoa Jaffary Nyegesha (ambaye huyu jaffary ndiyo Diwani wa Ubungo leo hii)

Mwaka 2019 Msuya aligombea Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa kichama Ubungo na akashinda japo aliondolewa June 2020 na Katibu Mkuu, John Mnyika baada ya kuthibitika kwamba alishirikiana na Serikali ya ya Magufuli kumuondoa Meya wa Ubungo wakati huo Boniface Jacob.

Baada ya kuvuliwa Uongozi ndani ya CHADEMA, Msuya alikimbilia ACT ambako hadi sasa ni Mwanachama wao.

Kwasasa Msuya ameoa Mke mwingine Mzungu Raia wa Uswiss anaitwa Sandra, Sandra anamiliki Duka kubwa la Dawa maeneo ya Kisutu na amepanga Appartment Masaki wakaoishi kwa siri yeye pamoja na Aidan bila Mke wa Aidan (Danny) kujua.

MAISHA YA MASHAKA.

Msuya amekuwa na kesi nyingi za Ujambazi za kuvunja magodauni ya watu lakini huwa hafungwi.

Mwaka 2024 alikamatwa kwa kesi ya wizi wa mitandao ambapo yeye na wenzake waliiba Shilingi za kitanzania Bilioni 5 lakini aliachiwa katika mazingira ambayo ni tatanishi.

Machi 2025 alikamatwa kwa kesi nyingine ya wizi wa mtandao ambapo yeye na wenzake wengine waliiba bilioni 2 za kitanzania lakini Disemba 2025 yeye ambaye ni mtuhumiwa namba moja aliachiwa kwa NOLE ya DPP wenzake wote mpaka leo bado wako jela katika.

DPP alimfutia kesi Msuya kwasababu Msuya ni mtu wao ambaye TISS, Abdul na akina Mafwele huwa wanamtumia kwenye mambo yao meusi ikiwemo kuteka na kupoteza watu hasa wapinzani na Wanaharakati ambao wanaikosoa Serikali.

Ikumbukwe kuwa Dada yake Aidan Msuya ni Boss Mkubwa TISS (HR) ambapo mwaka 2016 Magufuli alimfukuza Dada yake Msuya pamoja Suleiman Mombo kwenye hiyo nafasi.

Dada yake Msuya akapelekewa India Ubalozini na Mombo akapelekwa ubalozini Brazil.

Dada yake Aidan alirejea Tanzania mwaka 2021 baada ya Samia kuingia madarakani na aliporudi tu nchini alimteuwa kuwa Naibu katibu mkuu wa Wizara baadae alimtoa Wizarani na kumrudisha Ikulu.

Februari 22, 2025 yaani Jumapili iliyopita Msuya akiwa na wenzake watatu nchini Kenya walifanya jaribio la kumteka Mwanaharakati Hamza Mshabaha bahati nzuri watekaji watatu walikamatwa na Jeshi la Polisi nchini Kenya ila Msuya alifanikiwa kukimbia na kurudi nchi mara baada jaribio lao kufeli.

Nimejulishwa kwamba Serikali ya Samia kupitia vyombo vya usalama wamempa Msuya na wenzake tenda ya kuhakikisha mie Hilda Newton, Maria Sarungi na Sativa tunauawa mahali popote ambapo watabahatika kumuona yeyote kati yetu na endapo watafanikisha hili watapewa mpunga mrefu sana ndiyo maana kasi ya kutuwinda imekuwa kubwa maana watekaji wanatuona sie fursa.

So mkimuona huyu kaka huko mtaani basi mjue huyu ni moja ya watu ambao wanaunda Genge la Kuteka, kupoteza na kuuwa watu.

Kama kuna mtu yeyote ambae anataarifa ya ziada kuhusu mtu huyu ikiwemo picha za Familia yake yaani mke wake wa kwanza na yule mzungu, fullname ya mzungu na jina la duka lake la dawa lakini pia kama unajua jina na picha ya Dada ake ambae ni afisa TISS zitatusaidia sana kwenye kufanikisha kumpata huyu muuaji

Mwisho kabisa namshukuru sana Mungu wetu kwa kuendelea kutupigania mpaka hapa tulipofika leo japo Vita ni kubwa, mapambano ni makali ila tutashinda kwasababu Mungu yupo upande wetu.🙏
 
unataka kusema kwamba,
msuya, heche pamoja na boniyai ndio walimdhulumu a.kibao pekeyao?
hapaku na kiongozi mwingine wa chadema zaidi yao?
 
Ahsante kwa taarifa. Ukiona wanatapatapa hivyo jua mwisho wa CCM uko karibu sana
 
Ufafanuzi tafadhari! Huyu mwanaharakati Hamza ndo nani? Mbona sijawahi kumsikia akiikosoa serikali?
 
Daah, huyu Danny endapo wana msingizia wanamharibia sana.
Namfahamu kupita maelezo.
Alianza kupata pesa akiwa CHADEMA enzi za umeya wa Boni Yai.
Kijana wa mtaani pale Ubungo Msewe. Kwao siyo mbali na ofisi za watu wa kazi nyingi.
Jirani na kwa akina Millard Ayo.
 
Yani mmeandika porojo zote hizi halafu picha ya familia yake mnataka kwetu.

Kwanza mwandishi hana adabu, matatizo yenu na huyo jamaa mke wake na familia yake wanahusika vipi?

Mimi tangu hawa wanaharakati watafune pesa za Lisu huwa niko nao makini sana, taarifa zao ni lazima nidigest mwenyewe na siyo kumezeshwa kila taarifa.

Yani mtu awe na hizi details zote hadi ujuwe mke wake anafanyakazi secret service then unataka sisi tukusaiduaje?

Kwa harakati za namna hii mtapotezwa kweli, kwa sababu Tiss ni Secret agency, ni wakuu tu DSO, RSO, DG na wengine wachache ndio huwa wanajurikana wengine ni secret service, sasa unapoexpose watu kama ni kwwli yupo huko huoni humtendei haki?
 
Hawa wanaharakati uchwala na vijihabari vya kuokoteleza wataishia kuaminiwa na mazuzu tu. Juzi TU hapa walidai mara askali kaf*rwa,mara mengine kauwawa. Leo Tena Act ndo watekaji la haula.
 
Yani mmeandika porojo zote hizi halafu picha ya familia yake mnataka kwetu.

Kwanza mwandishi hana adabu, matatizo yenu na huyo jamaa mke wake na familia yake wanahusika vipi?

Mimi tangu hawa wanaharakati watafune pesa za Lisu huwa niko nao makini sana, taarifa zao ni lazima nidigest mwenyewe na siyo kumezeshwa kila taarifa.

Yani mtu awe na hizi details zote hadi ujuwe mke wake anafanyakazi secret service then unataka sisi tukusaiduaje?

Kwa harakati za namna hii mtapotezwa kweli, kwa sababu Tiss ni Secret agency, ni wakuu tu DSO, RSO, DG na wengine wachache ndio huwa wanajurikana wengine ni secret service, sasa unapoexpose watu kama ni kwwli yupo huko huoni humtendei haki?
Huko ukurasa wa Hilda Newton wameweka hadi picha za mwanamke wake mswisi, picha ikioo biashara yake, na mambo mengine mengi.
 
Kuhusu hela za Lissu umeandika uongo
 
Nakumbuka katika mada mojawapo Chivundu aliwashauri wanaharakati waliopo hapo Nairobi wahame maana sio safe haven kwa sasa, kimsingi naungana naye kwani ukiangalia historia ya Kenya na Tanzania na muingiliano wa kimipaka kuna siku kama mzaha wauaji wataweza kufanikisha mission yao.

Maana trial ya kwanza ilikua Maria , ya pili ni Msabaha wamefeli sasa kwa tabia za kiafrica hawa wataenda kujipanga na kurudi kivingine maana wanahitaji pesa tu kufanikisha hayo na watatumia weusi wenzao kuwauza.

Hawaoni Mange licha ya kuchukua tahadhari lakini hana restrictions za movement kama wao hapo Nairobi, sababu ni kwamba serikali dhalimu haishindwi kuwajaza posho watu kukaa hapo Nairobi miezi 6 wakiwavizia ila hawawezi kujaribu hicho kitu kwa Ulaya au Amerika.
 
Ufafanuzi tafadhari! Huyu mwanaharakati Hamza ndo nani? Mbona sijawahi kumsikia akiikosoa serikali?
Mshabaha huyo, ni maarufu sana Twitter (X) na Clubhouse huwa anafanya maongezi X Space na Maria Sarungi. Yupo karibu sana na Maria Sarungi.

Huyu na Maria Sarungi inaonekana kuna mtu anawawinda sana kwa sababu hata Maria naye walimfanyia hivi.

Maria Sarungi alishindwa hata kwenda kumzika baba yake Tanzania.
 
Huko ukurasa wa Hilda Newton wameweka hadi picha za mwanamke wake mswisi, picha ikioo biashara yake, na mambo mengine mengi.
Sasa huyo mwanamke Mswisi wanamuhusishaje? Hata kama huyo Msuya ni mtekaji, wanajuaje kuwa huyo Mswisi yeye si muhanga tu kadanganywa kazi ya Msuya?

Na kama kadanganywa tu, hawaoni kuwa kumuanika yeye na biashara zake ni kumuonea?
 
Back
Top Bottom