Huyu ndio Vladimir Putin

Alichokuwa anakitaka Putin amekipata au amefanikisha sasa muda wa kubishana na Obama haupo zaidi furaha tu kwa kuwa mtu aliyemtaka awe madarakani ndiyo kiongozi wa USA kuanzia tarehe 20 January 2017.
 
Huyu jamaa ninasikia anaweza kukanusha kitu alichokifanya with eye contact mkavu kabisa.

Tangu mapinduzi ya Oktoba mwaka 1917 hadi kufika 2016.
Ni Mikahail Gorbachev na Boris Yeltsin ambao wameidharirisha Urusi,
Lakini zaidi ya hapo Urusi wamebarikiwa kwa viongozi wenye akili: Wewe mwenyewe angalia tu kuanzia Vladmir Lenin hadi kufikia kwa Konstantin Chernenko.
 
Usinikumbushe Gorbachev, Irina Gorbachev alikuwa na pair 500 za viatu wakati Urusi ikiwa socialist country, that was a talk in the world, hiyo ikuwa earl 90's
 
Usinikumbushe Gorbachev, Irina Gorbachev alikuwa na pair 500 za viatu wakati Urusi ikiwa socialist country, that was a talk in the world, hiyo ikuwa earl 90's

Watoto wote wa viongozi wa Urusi kipindi cha Gorbachev walikuwa wanakula bata sana!
 
Una habari kuwa wakati Boris Yeltsin akiwa rais alikuwa na mkutano na John Major waziri mkuu wa Uingereza, Yeltsin akawa anapiga vodka kwenye ndege, wamefika London alikuwa amelewa vibaya mno, kuepusha aibu ndege iligeuza, wakasema alipata dharura nyumbani.
 

Kitwanga. Heheheee.
 

Kitwanga. Heheheee.
 
Duh wewe ni mmalekani kiongozi?
 
angefukuza wanadiplomasia wa marekani mngekuja hapa kusifia make mlikuwa mshaanza kusema lazima alipe kisasi, saiz hajafukuza mnasifia pia. mibongo bana!
Naona mnaleta utoto wenu wa ccm na chadema kwenye siasa za kimataifa....
The Great Putin... Kakushikeni pabaya
 
Kwa mujibu wa BBC, Putin kasema hawez kufanya uamuzi wowote hadi Rais mpya wa US aone ana muelekeo gani. Kama akiwa na muelekeo wa Obama, atafukuzilia mbali.

Ha ha haaa Puttin bwana sio wa maskhara..
 

Hiyo mbona ndogo!
Kuna moja alienda Marekani akalewa akavua suruali kuelekea barabarani Presidential Detail yake na Secret Service ya U.S.A kipindi cha Bill Clinton ilibidi wambebe na kumrudisha ndani. Yani acha tu yule jamaa sijui alikuwaje.

Heri ya mwaka mpya Mkuu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…