Innocenthezron
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 393
- 472
Alafu acha kumfananisha Putin na mambo ya kijinga kijinga!! Chato na putin wapi na wapi mkuu?Weka na kapicha basi, wengi tumemzoea huyu huyu wa Chato.
Hivi ni mwafrika wa kenya kweli?? naskia ni muislamu?kweli mfa maji haachi kutammpatapa naona mjalua na chama chake wanamtumia putin kama sabuni ya kujisafisha juu ya kushindwa kwao wanataka watuaminishe ujinga wapuuzi kweli democratic pamoja na obama wa
nb: laana ya damu ya gadaffi na wasyria lazima wailipe hapahapa duniani na baadae huko mbinguni
Lisenzi kweli hilo lijinga, limeshindwa hapa kuipa misaada ya kutosha kenya kwa baba yake matokeo yake limeenda kuuwa waislamu wenzake kabisa tena wa africa anakotokea!Mwafrika ni mwafrika tu. Mwafrika kasifiwa sana kuongoza taifa kubwa sana duniani, tia maji tia maji kajitahidi kuongoza kadri ya uwezo wake; mwishoni kabisa kaonesha uhalisia wa mwafrika; visa na visasi. Kaharibu ugenini halafu wenyeji wamempuuza tu. Aibu sana O.
Hahaha then akarud tena as presdaa...Hiki kichwa niligundua hesabu zake pale alipokubali kutoka urais awe waziri mkuu ili agombee urais tena, hakuna anaeweza kusema ni mbinafsi mpenda madaraka.
sasa wewe ulitaka akawauwe wakristo wasio wenzake,? Acha hizo ndugu...Lisenzi kweli hilo lijinga, limeshindwa hapa kuipa misaada ya kutosha kenya kwa baba yake matokeo yake limeenda kuuwa waislamu wenzake kabisa tena wa africa anakotokea!
kweli ndugu kufaana.
anamahesabu yake bwana,anajua Obama anatapatapa hana kwa kupashika,anachofanya Obama anataka ile staili ya yeye amwage ugali na Putin amwage mboga ili mambo yaharibike kabisa Putin anajua faida inayokuja baadaye baada ya Obama kusepa na kinachomsumbua Obama alishatamka kuwa ataenda kuishi Canada endapo Trump akishinda kwa hiyo anaona jealous kwa hao Jamaa kuwa pamoja kikazi
Fuatilia hotuba za Obama wakati wa kampeni ya mama yeye alikuwa anatetea hoja ya kuwazuia waislam kuingia USA,Mjaluo alianza vizuri anamaliza vibaya hiyo tukubaliane tu na hasa kumkana shosti wake wa karibu na maarufu Israel,umesikia alichosema Nyetanyahu kuhusu kula zilizopigwa UN juu Israelangefukuza ungekuja hapa kuponda?! afu acha uongo bana kusema obama alisema atahamia canada. trump anaogofya kwelikweli ndo maana putin kaufyata