Huyu ndio SUGU kama ulikuwa Humjui!!

nikweli aisee. amesahau kusema kinega. huyu jamaa ni noumer, alimpiga mkwala DMX hadi akafyata mkia. ndo maana siku ya fiesta hakutokelezea. over
 
hivi wakuu sugu ana watu anaofanya nao kazi mfano wa kusoma na ku-edit taarifa zake kabla hazijaingia kwenye public domain?ningependa kujua tu!
 
hivi wakuu sugu ana watu anaofanya nao kazi mfano wa kusoma na ku-edit taarifa zake kabla hazijaingia kwenye public domain?ningependa kujua tu!
Wewe facebook account yako huwa anedit nani? kama sikosei unadhani kwamba Amechemka Kiingereza alichotumia, kwa taarifa yako wewe ndio umechemka, hapo ametumia American English na ndio lugha ya wana hip hop wote duniani, by the way hiyo ni account yake binafsi na fans wake facebook.
Why account yake iwe na hisa na watu wengine? Ur very wrong man.
 

Nafikiri jamaa ni public figure
 
Nafikiri jamaa ni public figure
Ur very wrong Man, tusikurupuke kuchangia vitu ambavyo hatuna ufahamu navyo, soma tena kwa makini yeye anataka jamii imtambuwaje? usilazimishe unachotaka wewe ili awe yeye, ndio ametoa hicho kitabu cha muziki na maisha, kutoka chokoraa mtaani mpaka mjengoni Dodoma, waliomchaguwa hawakuzifungia akili zao kabatini kama unavyo jaribu wewe kujiondowa ufahamu.


 
Wewe ndio msemaji wa Sugu humu JF? Lini Sugu alikuwa chokoraa mtaani?
 
Wewe ndio msemaji wa Sugu humu JF? Lini Sugu alikuwa chokoraa mtaani?
Wivu wa kike, mwanaume kuwa na wivu sijui nini maana yake!! wengi humu wanatamani mafanikio ya Sugu ila hawana uwezo hata wa kufikia robo ya pale alipofikia na hajashikwa mkono na Godfather, ndio maana Haters watabakia kumponda tu, na cha ajabu wakati ninyi mnamponda mwenzenu ndio anazidi kupanda!!
[h=6]...if they ask u who's Sugu...Tell em'... I'm the Rapper/Music Activist/Business Man/C.E.O/MP...and now also the AUTHOR![/h]
 
hivi wakuu sugu ana watu anaofanya nao kazi mfano wa kusoma na ku-edit taarifa zake kabla hazijaingia kwenye public domain?ningependa kujua tu!

nenda ukawe wewe naona masaburi yanakuwasha kweli kweli.Unaulizia tenda kiujanja ujanja.

Lkn pole sana najua tabia za kicameroon zinakusumbua.
 
Sugu ni kama mvua kama nanyesha nanyesha......wanga huku na kule nawapa dol la kat*!
 
Tuache ushabiki wa kipuuzi.
Unaweza kumfananisha Sugu na nani ambaye amepitia maisha kama yake.......miongoni mwa wanamuziki wa Tz.
maisha yaku-hustle na akafika hapo alipo.

waulize ma-dj wa wakati huo, wakina John Dilinga, dj luv.
au waulizeni walioanza kure-cord huu muziki wa kizazi kipya mwanzoni kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…