Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,678
kweli ndyoko haonekani siku hz, nani ana taarifa zake?
Tumwite mtabiri wetu MzunguMndali aje atutabirie.
Nipo giLESi sema mambo yamekaba kinoma hadi
muda wa kudekshia jf nakosa, ila naona wadau wanavyojimwaga.
Shemeji bujibuji nitake radhi, kwa kuanika threads bila ridhaa yangu