Huyu ndio mwanaume suruali sasa!

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,536
4,513
Janaume lenyewe linajua kutoka tu kwenda kutafuta tu hela...

Lakini hali na maendeleo ya familia yake hana habari nayooo...

Unakuta Ana mke mzururaji mambo mengi...

Mabinti zake ndio wanachezewa na wahuni mpaka nyumbani kwake kabisa wala hawaogopi...

Eti baba poa...huyo ndio kichwa cha familia...
Hajui kukanya familia yake anaiogopa kuikera...

Mimi nyumba hiyo siwezi OA...

HUYU NDIO MWANAUME SURUALI SASA...

HAJUI HATA NAFASI YA UANAUME KICHWA WAKE...
 
Si wote wamechagua maisha hayo, wengine wamelazimika au kulazimishwa..
Usione ukadhani.
 
Halafu wale wanaolindwa sana ni rahisi kupata mimba kabla ya ndoa kuliko wale ambao hawafatiliwi na wazazi.Bora kuwapa watoto muda wa kuchangamana na w3nzao wakiwa wadogo ili waifanye michezo ya kitoto wakiwa watoto, Akikua hawezi kuifanya tena, Tatizo linakuja kwa watoto ambao wazazi waliona si vizuri kuwaacha watoto wakachangamana na watoto wengine wakikua ndio wanakua walevi wa ngono sababu hawakuicheza michezo ya kitoto
 
Back
Top Bottom