Huyu ndio mpenzi nilie nae

Is he worth the effort?
 
Kweli eeeh..?

Ni kweli kabisaa' niliwahi kuwa katika mahusiano Ya dizaini yako japo wangu alikua anajiweza sana kitandani 😄
Pia nilidum nae Mwaka tu' nikajua natumika' enzi zetu hatukua na neno mchepuko' Ila ki ukweli nilikua mchepuko
Kimbia haraka sana
 
Mhhh ngumu kumeza..huu ni uhalisia au storii ya kutungaa??etii pamoja ya haya yote bado nampenda...hahaaa kazi kweli kweli bidada
 
Ni kweli kabisaa' niliwahi kuwa katika mahusiano Ya dizaini yako japo wangu alikua anajiweza sana kitandani 😄
Pia nilidum nae Mwaka tu' nikajua natumika' enzi zetu hatukua na neno mchepuko' Ila ki ukweli nilikua mchepuko
Kimbia haraka sana

Nakimbiaa spidiii milioniiiii
 
Si sahihi kuendelea kukaa na huyo loser.

Njoo kwa baller ule maisha.

Trips za South Beach (siyo ile ya Kigamboni, no no no), Rodeo Drive, shopping Buckhead na kila aina ya bata imaginable.
hahaa haa jiandae kusumbuliwa pm
 
Dada hebu amka unataka mpaka akwambie sikutaki endelea na maisha yako amka hujachelewa bado usiendelee kupoteza muda yalinikuta mimi yaani mpk nilikuwa najiona ---- muda mwingine maana naona mbn kama jamaa he is not into me lakin najipa moyo agh atabadilika tuu
Mmh alikata mawasiliano miezi mitano kumbe alikuwa ndo kwenye mchaka mchaka wa kuoa
Lakini Mungu anajua sana kiko wapi ndoa imedumu mwaka jamaa kakimbia nyumba maana kakutana na mwanamke noma.Dada fanya maamuzi
 

Umemwambia kweli lakn muda mwingine mtu anaweza ukawa na mtu unaona mapungufu yake unajipa moyo atabadilika lkn wapi cha msingi dada aulize ni nini mwisho wa mahusiano yao jamaa ana mpango upi na yeye jmn kuna mengi ya kutafakari isije kuwa dada kajiaminisha hapo kumbe jamaa anapita tuu
 
Mambo mengne ukibaki kmy. ..threader anajiongeza
 

Very well said
 
Yeye yuko 25 na wewe 22 bado safair ndefu, kwani wataka kuoelewa saivi?
Mimi nadhani kuna kitu either unaficha au unaona kwa shogazo wanafanyiwa na mabfs wao na wewe unatamani angekufanyia. Ungejibu hoja ya Daudi1 tungejua nini hasa sababu ya wewe kuyaona mapungufu yake baada ya miakla mitatu ya mahusiano....!

Hata hivyo, 22yrs unatakiwa uwe chuoni huku ukijitahidi kimasomo ili kuondokana na utegemezi hapo baadae, achana na mihemko hiyo, bado hujakomaa kuhendo mahusiano,....!
 
Last edited by a moderator:

Ina maana hana zuri hata moja alilokufanyia? Tena miaka mitatu?
 
ULIANZA KUGUNDUA BAADA YA MIAKA MITATU?
SUBIRA HUVUTA KHERI JARIBU KUONGEZA MINGINE MI--- 3
AU KAMA VP NI PM NIWE NAMSAIDIA BAADHI YA MABO KIMYA KIMYA:tonguez:
 
Miaka mitatu ni mingi,mmeshazoeana labda anajisahau mkumbushe kwa kumwambia baby mbona hufanyi hiki na hiki kama mwanzoni,akireact vibaya jua hakupendi,chapa lapa...kama anakupenda atakuambia umpe muda ajirekebishe....dont let it go.....

Duh kama nimekuelewa vile..haiwezekani mtu 3 yrs ukae tu unavumilia hayo mapungufu
 
We limbwata hulijui dada? Tafuta limbwata wewe
(Natania jamani)
 
I takes so many hurt breaks to realize that none can love u n take care of u more thn the way u cud do it urself....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…