Huyu ndio mpenzi nilie nae

Huyu ndio mpenzi nilie nae

lady yoruba

Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
53
Reaction score
13
Habari wana JamiiForums mimi sio mwenyeji sana wa JamiiForums lakini ni mwenyeji pia kwa sababu huwa napenda sana kutembelea hii tovuti na kuchangia mada inaponibidi, kwahiyo kama niliivyoandika hapo juu sio mgeni hapa.

Niendelee tuu kwa kusema kuwa nimekua na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa zaidi ya miaka mitatu sasa tunaheshimiana kwa hilo nashukuru, kwa kawaida ndani ya huo muda wa miaka hiyo hatujawahi kuwa na ugomvi ambao ukapelekea penzi letu kuisha, la hasha!! Lakini kuna matatizo ambayo huninyima raha kama binti ninaejitambua na kujielewa, kwanza mpenzi wangu;

*Hajui kuCare, namanisha huwa hashitushwi na matatzo yangu tena madogo tu
*Hawezi kunibembeleza; kama binti kuna muda nafeel kufanywa kama mtoto na mpenzi wangu..lakini hakuna hicho kitu sasa cjui hawezi au ananifanyia mm, cjui
*Kitandani c mjuzi saana anajitahidi lakin wapii
*Hana wivu na mimim; hata anikute nakiss na man (french kiss) nikimwambia just a friend huwa haniulizi twice (huu mfano tuu)
*Hana tabia ya kukaa na mimi na kuongea kuhusu mambo yajayo kimaisha (future) kitu ambacho kinaniumiza sana naishije na mtu ambaye hajui hata kesho yake?
*Ku-spend zaidi ya uwezo just like ponda mali kufa kwaja
*Hana support ya maana hata kwa jambo la maana kwetu sote

Wapendwa nimechoka kuandika, ila please naombeni ushauri wenu msinitusi, kunikejeli na kudhihaki, mnishauri ni sahihi kuendelea kuwa nae au nianzishe ukurasa mpya wa kwangu binafsi?

Nampenda ila naweza kuishi bila yeye.

Karibuni.
 
Miaka mitatu si muda mfupi ktk mapenzi, kwa muda huo mtakuwa mmeshazoeana sana, mtoe out muee wawili tu umweleze uliyonayo moyoni kisha umsikilize atasema nini, unless umeshapata mwingine unatafuta sababu.
 
Si sahihi kuendelea kukaa na huyo loser.

Njoo kwa baller ule maisha.

Trips za South Beach (siyo ile ya Kigamboni, no no no), Rodeo Drive, shopping Buckhead na kila aina ya bata imaginable.
 
Kaa naye mfundishe ni nini unataka na nini hutaki.
Kitandani pia mpe somo km unaona soo kumface mnunulie majalida atasoma.
Generally nenda naye taratibu
 
....wapo watakaokutusi kama ulivyotoa tahadhari, mimi si mmoja wao, nakupa ukweli wewe ndo tatizo, kama unataka kubembelezwa wewe unajua kubembeleza? Mambo ya sasa ni nikune nikukune.
 
jitu zima halilii linataka kubembelezwa uwe unalia ili ubembelezwe

hapa kajibu mkurya
 
Habari wana jf..mm c
mwenyeji saanaa wa jf lakini ni mwenyeji pia kwa sababu huwa napenda
sana kutembelea hii tovuti na kuchangia mada inaponibidi, kwahiyo kama
niliivyoandika hapo juu c mgeni hapa..

Niendelee tuu kwa kusema kuwa nimekua na mpnzi wangu ambaye tumedumu kwa
zaidi ya miaka mi3 sasa tunaheshimiana kwa hilo nashukuru..kwa kawaida
ndani ya huo muda wa miaka hiyo hatujawahi kuwa na ugomvi ambao
ukapelekea penzi letu kuisha, la hasha!! Lakini kuna matatizo ambayo
huninyima raha kama binti nnaejitambua na kujielewa,, kwanza mpnzi wangu
*hajui kuCare, namanisha huwa hashitushwi na matatzo yangu tena madogo
tu
*hawezi kunibembeleza; kama binti kuna muda nafeel kufanywa kama mtt na
mpnz wangu..lakini hakuna hicho kitu sasa cjui hawezi au ananifanyia mm,
cjui
*kitandani c mjuzi saana anajitahidi lakin wapii
*hana wivu na mm; hata anikute nakiss na man (french kiss) nikimwambia
just a friend huwa haniulizi twice (huu mfano tuu)
*hana tabia ya kukaa na mm na kuongea kuhusu mambo yajayo kimaisha
(future) ki2 ambacho kinaniumiza saana naishije na mtu ambaye hajui hata
kesho yake???
*ku-spend zaidi ya uwezo just like ponda mali kufa kwaja
*hana support ya maana hata kwa jambo la maana kwetu sote.......!!
Wapendwa nimechka kuandika..ila please naombeni ushauri wenu msinituc,
kunikejeli na kudhihaki..mnishauri ni sahihi kuendelea kuwa nae au
nianzishe ukurasa mpya wa kwangu binafsi??nampenda ila naweza kuishi
bila yeye.

Karibuni....

mme ambae hana care wakati mm na care? hafie mbali
 
HAKUNA MAHUSIANO SAHIHI
ila watu wawili ndio huyafanya yawe sahihi kwa kiwango flani

ushawahi zungumza nae mambo usiyoyapenda na ni yapi unataka yafanyike???
 
lady yoruba

Naona unajiami hapo mwisho, je wewe unamcare? Unajali matatizo yake?? una wivu? au upo upo tu!?
 
Last edited by a moderator:
Kama nimeku quote vizuri, unasema hajui ku care au hakuonyeshi, mda wa miaka mi3 na hakuonyeshi,ulikua unamchelea nini?
Hayo mapenzi asiyo yajua kama unampenda kweli na wewe mjuzi wa mambo kwanini usimfundishe? Ruksa kumwambia mwandani wako nini unapenda mkiwa faragha, au hua sometimes hamuambizani kama Lov ile game ya Jana plz next time tuirudie na positions zile zile yani unanigusa ndipoooo, au story zenu ni Za pesa ya saloon na vocha tuu? Kwanza jiulize ukiwa kama mwanamke kwanini mwandani wako asiwe na time na wewe? Je humvutii tena? Jee huna vigezo vya kumthibitii? Je Wewe na wanao wadhibiti wapenzi wao wananini na wewe ushindwe unanini? Kaa chini Mdada utafakari mapenzi Sio kwenda saloon wala kujitia lipstick jitume, pole kama ntakua nimekukeraa Sio kusudio langu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom