Yule jamaa Lionel ni professional mmoja hatar bas tu zengwe jingi"Messi aliniuliza kama nataka kupiga penati mimi, nikamwambia hapana ningependa wewe upige ukamilishe HAT TRICK. Alimpa mpira Louis Suarez na kusema kuwa Suarez anahitaji kupata uzoefu zaidi". -Philipe Coutinho.
mandevu yale yanamponza sema yeye hana habariYule jamaa Lionel ni professional mmoja hatar bas tu zengwe jingi
Hapana akiwa nayo vile anaonekana poa sana.mandevu yale yanamponza sema yeye hana habari
Ndio anaonekana poa but anafanyiwa figisu sababu ule ni utamaduni wa watu fulani inahisiwa ana presentHapana akiwa nayo vile anaonekana poa sana.
Ooh kumbe.Ndio anaonekana poa but anafanyiwa figisu sababu ule ni utamaduni wa watu fulani inahisiwa ana present
Sabiki maandazi ww..mbona mechi ya Real 4 - 0 Alaves Ronaldo alimpa Benzema penalt at that time Cristiano alkuwa ameshafunga goli mbili.. kwel small minds discuss people, great minds discuss ideas..u have small mindsRonaldo atakuchoma hata M-bisu wa shingo ili apige yeye
Angekua mbinafsi asingekuwa all time assist provide pale MadridNi mbinafsi sana
Wanaendeshwa na mihemko !! Ushawahi ona cr7 kaleta mtafaruku kwenye team ?Sabiki maandazi ww..mbona mechi ya Real 4 - 0 Alaves Ronaldo alimpa Benzema penalt at that time Cristiano alkuwa ameshafunga goli mbili.. kwel small minds discuss people, great minds discuss ideas..u have small minds