pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,561
- 14,627
Mfumo aliopa magufuli ni mbaya sanaLOWA SASA naye amekulia kwenye familia ya akina magufuli hatufai

Baada ya miaka 54, hakuna nafasi nyingine ya kudanganya watu kwa maneno ya kutunga kama haya. CCM mlichoshindwa kukifanya kwa miaka 54, mtawezaje kukifanya kwa miaka mitano ijayo????? HATUDANGANYIKI TENA!!!!!! CCM OUT! Hakuna namna nyingine!!!!!!!
HUYU NDIO MAGUFULI:
"Uwajibikaji ndio suluhisho la wazembe, nitajenga utamaduni mpya wa uwajibikaji, kutakuwa hakuna kusameheana, kubebana wala kujuana. Nitaimarisha mfumo mzima wa utumishi wa umma ili kuiwezesha serikali kuwatumikia wananchi lakini pia kurahisisha utoaji adhabu kwa watakaozembea badala ya kulindana na kuunda tume na kamati zisizo na tija"
Upo sawa