Huyu ndio Kikwete bwana!

Nani kasema???hata angejifungia ndani na mama salma hela zingepatkana tu kwanza nssf ndo wametoa mk2anja mrefu pale
nafikiri unamaanisha magufuri haendi nchi za nje na kuna maenedeleo lakn tambua rais anawasaidizi wake ndo wanaoenda kumuwakilisha. jiulize hayo mataifa makubwa yafafa nn huku kwetu? wakat wanapesa nyingi. jibu ni kwamba huwezi ukaendelea kwa kutegemea kodi za ndani, ndo maana kuna biashara za kimataifa ili utanue uchumi wa nchi yako
 
Waambie hao simba songea wazee wa viroba kwani hawajui kama Kikwete ni kiboko ya Lowassa
 
mm hata sijui ebu niambie
 
mbona hapa penyewe tumeamua lakn bado tunasubiri pesa za wahisani.. usiwe bichwa maji kukopa pesa sio dhambi na ukikopa ukapata hasara sio dhambi bali inakuwa risk
 
Unajua miezi nane tu ya awamu hii deni lishafika kiasi gani ? Hebu muacheni mzee wa watu Jk
 
Fala kweli wewe,huyu asiyezurula pesa anatoa wapi???laiti ingelikuwa kuzurula kwa jk ndo kunailetea nchi hela nafikiri tanzania ilitakiwa kusiwe na shida yoyote maana hyo mkwele kazurula kuliko maelezo

Pole Ndugu yangu! Chuki zenu ndio Catalyst ya kung'arisha Nyota ya Mh. Dr, Mbunge Mstaafu, Waziri Mstaafu, Rais Mstaafu,Amiri Jeshi Mstaafu Mwenyekiti wa AU Mstaafu,Mwenyekit wa EA Mstaafu, Mwanamtandao mstaafu Msuluhishi wa Migogoro ya Libya na Mozambique Mwanadiplomasia Nguli Duniani Jakaya Mrisho Kikwete.
 
Akili za kushikiwa hizi zinataabu kweli
 
mbona hapa penyewe tumeamua lakn bado tunasubiri pesa za wahisani.. usiwe bichwa maji kukopa pesa sio dhambi na ukikopa ukapata hasara sio dhambi bali inakuwa risk

Hapa ndo nimeamini kuwa wewe ni mama! Nani kasema kukopa ni dhambi wewe? Kusubiri pesa za wahisani ni uamuzi pia mamangu. Kinachokupa shida ni tatizo lako lakuaona kila kitu ni "natural". Vingine ni maamuzi yako na unaweza kuamua kufanya au kutokufanya. Akili yako umeshikiwa na wengine na ni ngumu sana kuelewa. Fikiri kivyako, achana na kushikiwa akili.
 
Nawaza kwa sauti. Hii ni baada ya ukuu Wa Wilaya na mambo yafananayo kuota mbawa. Ndio maisha lkn.
 
Laiti ya kwamba Taifa letu lingekuwa kama Urusi mwaka 2020 JK tungemrudisha ikulu.Ngosha anashangaa meli tu pale magogoni ndo anahis keshamaliza dunia,Taifa bila mahusiano haliendi lazima ashinikizwe kupanda ndege hata kama ni anaogopa.Kutegemea mabalozi waliopo nje na Mahiga mpaka aombe kibali nchi itadumaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…