Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Wadau,
Kila mtu ajaribu kumvutia picha Moderator maarufu hapa jamiiforums, bwana mdogo Invisible. Tafadhali Invisible usinipige ban ni kwa nia njema tu.
Mi nafikiri Invisible atakuwa Mweusi, mfupi, ana kitambi kidogo halafu ana mzuzu wa kiustadhi kidevuni.
Wewe unadhani Invisible ana muonekano upi?
Posted by: SUPU YA MAWE
Sasa Mbona Kama Vile Unajipendekeza Kwake? Naomba Kujua Jinsia Yako Tafadhali!
Gadem....!!!!!!!
Sasa Mbona Kama Vile Unajipendekeza Kwake? Naomba Kujua Jinsia Yako Tafadhali!
Gadem....!!!!!!!
Shy Land I Love You Baby.
mimi hata sijui hayo makingereza yako. Sijui unamanisha nini.
nakupenda!