Habibu Mchange nakufahamu vyema.Tangu enzi zile unauza korosho na miogo ya kuchoma pale Kibaha.Sasa hivi umebadilika sana kiuchumi. Wewe bado mwanafunzi wa UDOM. Umekuwaje na ukwasi ulionao wakati familia yako ni choka mbaya?
Wana-Kibaha walikukataa kwa sababu mbili.Kwanza,ulikuwa bado mwanafunzi.Pili,huna msimamo kwakuwa ulinywea haraka kwa Koka na kumsusia jimbo la Kibaha Mjini.Uongo? Uasi wenu chamani umeshindwa.Sasa mna machaguo mawili: kutubu au kujitoa chamani.Lakini,hata mkitubu hatutawaamini tena.Habibu Mchange,natunza mengine kwa heshima yako. Kaa kimya