englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
haya maneno kayasema kweli?? duh kama ndio basi kampatia kweli??
asante mugabeHuyu mzee ni jemedari haswaa....Zimbabwe wana raha....
Hii story imezunguka sana mitandaoni lakini si ya kweli. Ilianzia kwenye blogs za wanaijeria.
Angesema hivyo kweli, angekuwa anajitukana tu, kwa vile mwanaume muoaji na muolewa wote ni "Gays". Ushoga ni kufanywa na kufanya kwa watu wa jinsia moja, na Comrade Mugabe asingeweza kujitukana eti amuoe Obama.
Asante Mugabe!!