Huyu ndie diamond

Wakuu hivi ile project yake na Neyo iliyo sogezwa mbele hadi mwezi wa 3 mwaka huu alishaenda kufanya?
 
Yasije yakawa ya Wizkid na Drake!
anyway kila la kheri kama kuna project
 
Mkute katumia hiyo picha kuonesha kufunga bakuli/mdomo kama jamaa alivyokaa hapo kwenye picha nyie mkaenda extra miles.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…