Huyu naye?

Huyu naye?

slim5 hujatuambia leo jumatatu yule bnt kakuangaliaje

Ile jumatatu, shogake aliwahi kutoka, na yeye hakuwa na guts za kuniface!

Ila jana kanipigia simu - extension, anaomba nimlist ktk mgao wa new laptops, ukweli sikumjua, nikamuuliza nani mwenzangu, akajitamulisha!

Nikamwambia maombi yafanywe kwa DOKEZO, utaratibu wetu wa kawaida sana hapa, na si kwa simu!

Ameniandikia na mimi nimemjibu kwa DOKEZO, kuwa ktk staff wanaostahiki mgao, yeye si miongoni mwao, lkn pia ofisi ina uhaba wa vitendeakazi, mara vitakapopatikana vitendeakazi vya kutosha, ATAFIKIRIWA!

Kazi kwanza!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom