Huyu naye shabiki wa chama chetu cha siasa

ndio.actually hiyo ni alama ya ushindi.. Baada ya CUF kufa na haitetei wananchi huko visiwani uamsho umeona uchukue mikoba.
 
Siku zote wazee wa matukio huwa hawaendani kabsaaaaa na sura zao.......Huyu nae ana familia yake kabisa. Kweli hali yaashiria mwisho U karibu...
 
sheheeeeeeee.....

AAAAAh huyu siyo Mtanzania, huyu ni Alcaeda na alikuwa kichaa...mengi sasa tutayasikia.....uhamiaji na serikali iko wapi?walikuwa wapi hata wakamsajilia kikundi chake cha ufirauni na leo anawapa matatizo?
 
acheni ushamba hiyo ni alama ya ushindi duniani kote sio ya chama chenu cha kidini na kikabila(chadema)!
 
Back
Top Bottom