Huyu nani tena huyu ni b dozen b52

Huyu nani tena huyu ni b dozen b52

B DOZEN B52

Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
28
Reaction score
1
Chemsha Bongo.....
Baba na Mtoto walikuwa ndani ya gari high way , kwa bahati mbaya wakapata ajali mbaya sana Baba akafariki papo hapo , Mtoto alikuwa hali mbaya akakimbizwa hospitali.
Walipofika hospitali Yule daktari aliyekuja mhudumia Mtoto alisema maneno haya .
Thank God my son you are alive 
Daktari atakuwa nani????
 
bange mbaya sana katika jamii ya kitanzania soon MMU itakua kama FB,halafu wengi wao ni wale waliofeli matokeo haya ya division five(BRN)
 
Wee kweli mwekunduu siyo bure hilo kwa hy hilo ndo jibu lako nam pia nina mashaka na ww.
 
yule daktari alikuwa mama yake mzazi. Kama nipepatia nipe like yangu
 
Back
Top Bottom