Huyu mzungu ametuchanachana aisee!!

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,074
Reaction score
5,862
Hapo vip!!

Nimejaribu kusoma maelezo ya mzungu mmoja, kwenye hyo attachment hapo chini, nikamkumbuka Trump alisema, waafrika tumejee kwenye industries ya dini tukiamini umaskini inaletwa na pepo!!
 
Attachments

  • FB_IMG_1512550062960.jpg
    71.9 KB · Views: 224
dola ya US imeandikwa in God we trust, Mbona hawatukani hao wazungu?
Hajasema kwamba tusiamini kuwepo kwa Mungu, after all, tulishanza kuamini hivyo hata kabla ya ujio wao, anachosema ni ujinga wa kuendelea kuwaamini miungu ya kigeni ktk Ugeni uleule tuloletewa nao, namuunga mkono... Ni ujinga uliotukuka.
 
Hapo vip!!

Nimejaribu kusoma maelezo ya mzungu mmoja, kwenye hyo attachment hapo chini, nikamkumbuka Trump alisema, waafrika tumejee kwenye industries ya dini tukiamini umaskini inaletwa na pepo!!
Kwani ukristu ulianzia ulaya
 
huyo ni anti christ mbona US na maendeleo yao ndio upentecoste/ulokole umeanzia uko tena kwa hao hao wazungu ambao wanapinga same sex marriage, kutoa mimba etc
 
Hapo vip!!

Nimejaribu kusoma maelezo ya mzungu mmoja, kwenye hyo attachment hapo chini, nikamkumbuka Trump alisema, waafrika tumejee kwenye industries ya dini tukiamini umaskini inaletwa na pepo!!
NA HUYU MWINGINE KASEMA HIVI-A NATION THAT ONLY REWARDS POLITICIANS AND PREACHERS DOES NOT HAVE A BRIGHT FUTURE-HII KASEMA JAN ZIGBE) NAONA NI KAMA KUNA UKWELI HAPO.
 
Mbona tunatokwa sana na povu mimi nimependa pale aliposema wanawake weusi wanaruka na kucheza kanisani hadi mawigi yao yanadondoka

Ila kuna point za ukweli kwenye andiko lake iweje ukubali umeumbwa mfano wa Mungu then unaenda kumuabudu aliyekuumba hivyo na wig
 
Hawa watu wa Facebook ni shida
 
Ana point kubwa tuu....angalia watu wetu wengi wanaangamia kwa sababu ya dini hata wasizozijua...kwenye hzo dini tunazoamimishwa kuwa zitatupeleka peponi baada ya hapa,angalia hao wanahubiria hizo dini...wanatembelea magari ya millioni mia nne,wanaishi kwenye mahekalu na kile kidogo tulichonacho wanakichukua,wanaishi peponi hapa duniani halafu wanatuambia pepo yetu sisi ni baada ya kifo...Karl Marx alisema...RELIGION IS AN OPIUM FOR THE POOR...MUNGU wa kweli hapendi tuwe maskini.
 
Hapo vip!!

Nimejaribu kusoma maelezo ya mzungu mmoja, kwenye hyo attachment hapo chini, nikamkumbuka Trump alisema, waafrika tumejee kwenye industries ya dini tukiamini umaskini inaletwa na pepo!!

Trump hajawahi kusema hayo unayodai kayasema.
 
Hamna mkuu mi wa bongo hapahapa najua kiswahili nadhan napambna na hali yangu mkuu
 
dola ya US imeandikwa in God we trust, Mbona hawatukani hao wazungu?

sasa kuna uhusiano gani kati ya Mungu na hizi dini? Mungu ni Mungu yupo na ndie aliyeumba ulimwengu na kusema tuashi kwa amani, tuheshimiane nk au huyajui haya mpaka uambiwe kanisani au msikitini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…