Babu kavuna akapata FAO LA kujitoaHapa anakula bata tu, wajinga ndio waliwao!!
Anakula pesa za mbumbumbu ..
Hapo si mlifanya tu watu mazuzu wakati ule nchi ipo kwenye mgao mkali wa umeme,sijui migomo ya madaktariItatuchukua Miaka mingi sana kupata Rais Fundi Kama Jk[emoji3][emoji3][emoji3]
Hapo si mlifanya tu watu mazuzu wakati ule nchi ipo kwenye mgao mkali wa umeme,sijui migomo ya madaktari
Jamaa zenu wa idara wakaja na hili la babu wa Loliondo na walifanikiwa kwa 150%
Naye ni miongoni mwao[emoji115] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Picha tafadhali mkuuYupo.... anakula ubunifu wake kimyaaaa huko loliondo kwenye bonge la nyumba yake mpya inayopambwa na landcruiser iliyopark pembeni.
Mwambie mussa mwaka huo tulikuwa hatujafika milioni 45Musa na wewe ni mzee wa sound ,hii milioni 45 umeitoa wapi ?
milioni 45?Haifiki hata kidogoKumbuka kuna wageni wengi walienda pia. So hayo makadirio yapo sawa
Anakula pesa za mbumbumbu ..
Mazuzu...Mbumbumbu ndo nn mkuu
Mazuzu...
Watu wanaogopa...7m usawa huu si mchezo..jamaa ni hataki mchezo!!Naona umetumia literary devices si useme John Pombe Magufuli
Mshana jr mm huwa spendagi ujinga ohooo! Ntakubeni saanane[emoji115] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]