Ndio pampers, ukimfunga khanga nani atafua? Sikuhizi mabinti ni wavivu sana, wengine wamebanana, wengine tips za mikono hawezi kufua mavi ya mtoto! Kila mara vinaharisha hivyo vitoto huo mida wa kuvifulia ndio haupo! Tupo busy maofisini na smart phone basi! Kwahiyo diaper inarahisisha sana ukimvalisha akishafanya yake unamtoa tu na kumfuta na wipes unaend akutupa🚮 biashara imeisha!