Huyu mzee anafanya nini?

Anakwanga mchana lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Sio Nimrod huyu? anawanga naye siku hizi!LOL!!
 
nimechekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nimrod Mkono anarukaruka baada ya kufungua nini? Shule?
 
Mbona kama anakula chabo! Hili pause la wala chabo tu.
 
Mwanzoni nilijua ancheza kiduku, lakini ukiikuza picha vizuri unaona kama kuna kitu kingine anafanya. Saidia jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…