Huyu Mzazi Vipi Jamani

Huyu Mzazi Vipi Jamani

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,303
DSC_0373.JPG
 
Ingawa wengi wetu tumefkiria katika kona nyingine kwa mazo yangu hakuwa anampiga picha kwa sababu amekaa mkao huo ila kwa sababu kama mtoto amefanya kituko ambacho is fun to him na huyo daughter!! ukielekeza mawazo huko basi wewe ndo unatatizo!!
 
Anacheza na mwanaye huyu miye sioni tatizo lolote katika picha hii.
 
Umejuaje ni mzani? could also be a pedeophile
 
watoto wengi wa umri huo huwa wanapenda kukaa mkao huo jamani,akili zimeharibika kila tunachoona tunawaza ngono:rain:
 
Wwe uliyeweka hii picha ndo tukuulize vipi jamani... maana hisia zako ziko tofauti na matarijio ya wengi.... Nahisi kama ni kuzaa au kulea bado hujabahatika....:rain:
 
Back
Top Bottom