tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Katika hali isio kuwa ha kawaida na iliowashangaza wengi kampuni ya tour guides imeanza kuwa beba wageni wake wanao tembelea mbuga kupitia kampuni hiyo ,ubebaji huwo ambao machela hutumika kama picha inavyoonyeshaView attachment 230287 umelaaniwa vikali na jumuiya mbali mbali za haki za binadamu, hali Hii pia imeikasirisha serikali kupitia wizara ya mali asili na utalii na kupitia msemaji wake wana azimia kupiga marufuku utoaji huo wa huduma ya biashara, kwani ni udhalilishaji pia unashiria vitendo vya utumiwa, na baadhi ya wanachi wamedai hayo Ni baadhi tu ya mambo mabaya wafanyayo baadhi ya wawekezaji kwa wazawa hapa nchi
Hiyo kampuni inaitwaje...........?.......
Soma thread vizur mkuu
Kuna mdau alisema hiyo ni nchini Uganda
Hapana mkuu kampuni ya tour guide inafanya shughuli zake hapa nchini na makao yao makuu ni mkoa mmoja wapo kati ya kilimanjaro au arusha
Sasa huku ni kupiga ramli.........Kwani ukiitaja hiyo kampuni nani anakujua humu.........?......tour companies Arusha na Moshi zipo nyingi sana.........huoni kama ukiiweka wazi utawasaidia waTanzania wenzako ambao wananyanyasika na ukoloni mamboleo.........?......kama hutaki kuitaja umeandika ya nini hii thread.........?
Hii imetokea Uganda siyo TanzaniaKatika hali isio kuwa ha kawaida na iliowashangaza wengi kampuni ya tour guides imeanza kuwa beba wageni wake wanao tembelea mbuga kupitia kampuni hiyo ,ubebaji huwo ambao machela hutumika kama picha inavyoonyeshaView attachment 230287 umelaaniwa vikali na jumuiya mbali mbali za haki za binadamu, hali Hii pia imeikasirisha serikali kupitia wizara ya mali asili na utalii na kupitia msemaji wake wana azimia kupiga marufuku utoaji huo wa huduma ya biashara, kwani ni udhalilishaji pia unashiria vitendo vya utumiwa, na baadhi ya wanachi wamedai hayo Ni baadhi tu ya mambo mabaya wafanyayo baadhi ya wawekezaji kwa wazawa hapa nchi
wewe umeamua kuchekesha, sidhani kama hii inaweza kutokea tanzania akseh