- Thread starter
- #41
Asante,nawashangaa walimwengu ukizaa hata mapacha umezaa sana,usipo zaa huzai,hata sijali najua nimezaa sawasawa na walio zaa mara tatu yaani watoto watatuAisee hongera mama ,Mungu kakupa kizazi
Asante,nawashangaa walimwengu ukizaa hata mapacha umezaa sana,usipo zaa huzai,hata sijali najua nimezaa sawasawa na walio zaa mara tatu yaani watoto watatuAisee hongera mama ,Mungu kakupa kizazi
Sio fala ananiamini sana,wala siotatizo kwetu,hali halisi ilibidi nirudi naeMumeo ndo fala toka lini unamwachia rafiki mkeo
Dunia hii unafikiria mbaya basi ? Walimwengu ndio wabaya ,Kila mtoto anakuja na riziki zake kwenye hii dunia hivyo mama endelea tu mpaka utakapo ona imetoshaAsante,nawashangaa walimwengu ukizaa hata mapacha umezaa sana,usipo zaa huzai,hata sijali najua nimezaa sawasawa na walio zaa mara tatu yaani watoto watatu
Hapana kaka,pia naona wanatosha nilisema ntazaa mara mbili wakaja wanne,rafu ikatupa nafasi ya tatu[emoji2] [emoji2] sasa nimejifunza sana,Dunia hii unafikiria mbaya basi ? Walimwengu ndio wabaya ,Kila mtoto anakuja na riziki zake kwenye hii dunia hivyo mama endelea tu mpaka utakapo ona imetosha
Sawa mama Mungu akawakuze kwa kimo na hekimaHapana kaka,pia naona wanatosha nilisema ntazaa mara mbili wakaja wanne,rafu ikatupa nafasi ya tatu[emoji2] [emoji2] sasa nimejifunza sana,
Samahani hatukuelewana... Lakini endelea kulalama.. kama id yako!!!Mh!we mropokaji hebu soma tena usikurupuke.sina hata sababu ya kujirahisisha nitofautishe na wadada wa kwenu,soma vizuri ujue unachokisema ,kama we nimwanaume dooh,kajifunze kutumia akili,kama mwanamke chunga huo mdomo utaachika
anakuonea huruma kwani anazo siri za mmeo jinsi anavyochukua vyangudoa na yupo kwenye list ya wahanga wa HIV.Sio fala ananiamini sana,wala siotatizo kwetu,hali halisi ilibidi nirudi nae
Alikuwa na maana nzuri ila hakujua jinsi ya kukufikishia, na ushauri kama huo alitakiwa aanze mbali na kulikuwa hakuna sababu ya kusimamisha gari, ujumbe umefika kaa uufikirie na hakuna sababu ya kumweleza mumeo pamoja na hayo kuhusu watoto ni uamuzi wenu hapo tegemea kupata ushauri wa kila aina kuhusu uzaaji huoHamjambo wandugu,
Mwenzenu sielewi hawa wanaume wengine huwa wanawaza nini,mimi ni mke na mama wa watoto mapacha tatu yaani sita nimedumu kwenye ndo zaidi miaka kumi sasa,hatukuwahi kua na shida yoyote,
Tuna marafiki wa familia ambao nirafiki wa mume wangu mimi niliwafahamu baada yakuolewa,toka nikiolewa huyu mwanaume (rafiki)sikua namuelewa anavyoniangalia.
Nilihisi jambo sikutaka kuwaza ubaya nilipotezea tu.sasa Leo asubuhi amemsindikiza mume wangu anasafiri tukiwa njiani tunarudi akasimamisha gari na kuniuliza kama nnampango wakuendelea kuzaa,nilishtuka maana nijambo la ndani sana,nikamwambia ikiingia sitoi.kisha nikamuuliza kwani vip shem?ndio alipofunguka kuwa watoto 6 ni wengi sana mume wako akifa nani atakuoa ?
Sikumjibu kitu zaidi ya kumuomba anipeleke nyumbani,najiuliza sana haya yametoka wapi?nimwambie mume wangu?ninyamaze?nifanyeje mwenzenu sielewi!msaada