Huyu mwanaume vipi!

Huyu mwanaume vipi!

Hamjambo wandugu,
Mwenzenu sielewi hawa wanaume wengine huwa wanawaza nini,mimi ni mke na mama wa watoto mapacha tatu yaani sita nimedumu kwenye ndo zaidi miaka kumi sasa,hatukuwahi kua na shida yoyote,

Tuna marafiki wa familia ambao nirafiki wa mume wangu mimi niliwafahamu baada yakuolewa,toka nikiolewa huyu mwanaume (rafiki)sikua namuelewa anavyoniangalia.
Nilihisi jambo sikutaka kuwaza ubaya nilipotezea tu.sasa Leo asubuhi amemsindikiza mume wangu anasafiri tukiwa njiani tunarudi akasimamisha gari na kuniuliza kama nnampango wakuendelea kuzaa,nilishtuka maana nijambo la ndani sana,nikamwambia ikiingia sitoi.kisha nikamuuliza kwani vip shem?ndio alipofunguka kuwa watoto 6 ni wengi sana mume wako akifa nani atakuoa ?
Sikumjibu kitu zaidi ya kumuomba anipeleke nyumbani,najiuliza sana haya yametoka wapi?nimwambie mume wangu?ninyamaze?nifanyeje mwenzenu sielewi!msaada
Kimila au kikwetu mwanamke kama wewe hapandi gari Mshi'kaji (jirani mmbeya) kwa kuwa umejirahisiha sana hadi kuwa wawili kwenye gari ndo aliropoka!!!
Mezea tu kama unavyomeza kohozi... Jitunze!!
 
Nadhani umemuelewa vibaya huyo shemegi yako ila suali lake ni zuri sana. Inawezekana ukahisi kama ameingilia uhuru wa maisha yako na mume wako lakini ukiangalia upande wa pili jee ije kutokea kweli umejipangaje? Kama kawaida zetu mume akifa wajomba na mashangazi ndio wenye kugombania mali za urithi kama wao wamesaidia kuipata hio mali. Nilivyomfahamu mie huyo Shemegi yako anajaribu kukwambia utafute kazi ili hata likija tatizo uweze kulikabili kirahisi kwenye maisha yako. Pia kabla hujamwambia mumeo kwanza muulize huyo shemegi yako akufahamishe nini amekusudia hata akakuuliza hilo suali.
 
Kwa kuwa amakuuliza straight forward basi inawezekana huwa wana maongezi ya namna hii sana na mumeo sema kaona mumeo sio msikivu,akahamia kwako na anaweza akawa ana lengo la kukusaidia familia yenu sema ukaona anakutaka,maana sio kawaida akuambie mambo ya ndani hivyo, jaribu kumdadisi, sikushauri swala la kumchongea kwa mumeo.
 
HIVI FORM THREE "C" MNAFUNGUA LINI SHULE.
 
Asanteni jamani,hata mimi najua watoto sita ni wengi japokua tunajiweza sikuwahi kuomba wazaliwe mapacha,pengine wasingekua wanakuja wawiliwawili ningekua na watoto.watatu,sikufuru jamani wako watu wanawahitaji,ila suala la kuniambia mumeo akifa?au kuolewa tena limeninyima raha sana....asante mmenipa mawazo ntamrekodi ili mume wangu amsikie mwenzie,
 
Ila chukua ushauri huo,inaonekana kwako suala la family planning limekupita kushoto sana. Kwa zama Hizi na kwa idadi hiyo fanyeni kazi ya ziada sana maana kwa gharama Hizi za maisha.
 
hao mapacha ni same or different sexes... Aisee hongera. Umejaliwa.

as for that shem of yours ... usimwambie mmeo maana inasaund kama jamaa anamuombea kifo. Ila mkanye asiingilie tena affairs zako.. On the contrary anaweza akawa yupo concerned tu kwani maisha magumu.
Asante rafiki angu wako wavulana na msichana,nilijitahidi kuzuia hii pea ya tatu sijui kilitokea nini[emoji85]
 
Hamjambo wandugu,
Mwenzenu sielewi hawa wanaume wengine huwa wanawaza nini,mimi ni mke na mama wa watoto mapacha tatu yaani sita nimedumu kwenye ndo zaidi miaka kumi sasa,hatukuwahi kua na shida yoyote,

Tuna marafiki wa familia ambao nirafiki wa mume wangu mimi niliwafahamu baada yakuolewa,toka nikiolewa huyu mwanaume (rafiki)sikua namuelewa anavyoniangalia.
Nilihisi jambo sikutaka kuwaza ubaya nilipotezea tu.sasa Leo asubuhi amemsindikiza mume wangu anasafiri tukiwa njiani tunarudi akasimamisha gari na kuniuliza kama nnampango wakuendelea kuzaa,nilishtuka maana nijambo la ndani sana,nikamwambia ikiingia sitoi.kisha nikamuuliza kwani vip shem?ndio alipofunguka kuwa watoto 6 ni wengi sana mume wako akifa nani atakuoa ?
Sikumjibu kitu zaidi ya kumuomba anipeleke nyumbani,najiuliza sana haya yametoka wapi?nimwambie mume wangu?ninyamaze?nifanyeje mwenzenu sielewi!msaada
Huyo kichaa anakusumbua mpaka unaamua kuleta uzi?
 
Samahani yaani umejifungua mara tatu ,kila ukijifungua ni mapacha tu ?? au mara mbili lakini Triplets ?Hapo ndio palipo nivutia huko kwingine ni swala la kawaida tu uzuri uwe na msimamo sisi wanaume ni viumbe vya aina yake
Nimezaa mara tatu uncle wanakuja wawili wawili
 
Atakuwa anakupa 'friendly advice au ushuri wa kisehemeji'... Na maisha haya yalivyo tait yani nyie bado nyota ya kijani ya uzazi wa mpango hamuioni? Kama ni kweli una watoto sita ni bora ukafungwe kizazi kwa welfare ya familia yako...
Aisee mbona hatujawahi omba msaada na tunamaisha yakuweza kuwatunza?mtu akisema idadi kubwa anakua mmoja wa maamuzi ya watu?uzazi wa mpango ni upi hapo kwetu?tumezaa mara tatu,anyway asante kwa ushauri
 
6 ni wengi mno au una mpango wa kufungua shule yako binafsi ambayo itakuwa na watoto wako pekee wakisoma hapo?. Karne hii sio nzuri kwa kuzaa sana, unajiongezea stress za maisha mbeleni!. Natania aisee, ikiingia usitoe!!!!
 
Kimila au kikwetu mwanamke kama wewe hapandi gari Mshi'kaji (jirani mmbeya) kwa kuwa umejirahisiha sana hadi kuwa wawili kwenye gari ndo aliropoka!!!
Mezea tu kama unavyomeza kohozi... Jitunze!!
Mh!we mropokaji hebu soma tena usikurupuke.sina hata sababu ya kujirahisisha nitofautishe na wadada wa kwenu,soma vizuri ujue unachokisema ,kama we nimwanaume dooh,kajifunze kutumia akili,kama mwanamke chunga huo mdomo utaachika
 
Nadhani umemuelewa vibaya huyo shemegi yako ila suali lake ni zuri sana. Inawezekana ukahisi kama ameingilia uhuru wa maisha yako na mume wako lakini ukiangalia upande wa pili jee ije kutokea kweli umejipangaje? Kama kawaida zetu mume akifa wajomba na mashangazi ndio wenye kugombania mali za urithi kama wao wamesaidia kuipata hio mali. Nilivyomfahamu mie huyo Shemegi yako anajaribu kukwambia utafute kazi ili hata likija tatizo uweze kulikabili kirahisi kwenye maisha yako. Pia kabla hujamwambia mumeo kwanza muulize huyo shemegi yako akufahamishe nini amekusudia hata akakuuliza hilo suali.
Wote niwafanya kazi na wajasiriamali wala sina wasiwasi wala hatuna matatizo kiasi cha mtu kutombea shida ya kifo,hata akianguka kesho nauhakika na hali nilionayo,nimeshangaa best anyway asante kunishauri
 
Kwa kuwa amakuuliza straight forward basi inawezekana huwa wana maongezi ya namna hii sana na mumeo sema kaona mumeo sio msikivu,akahamia kwako na anaweza akawa ana lengo la kukusaidia familia yenu sema ukaona anakutaka,maana sio kawaida akuambie mambo ya ndani hivyo, jaribu kumdadisi, sikushauri swala la kumchongea kwa mumeo.
Asante best,naona nikaembali nae kama walivyoshauri pale juu,
 
6 ni wengi mno au una mpango wa kufungua shule yako binafsi ambayo itakuwa na watoto wako pekee wakisoma hapo?. Karne hii sio nzuri kwa kuzaa sana, unajiongezea stress za maisha mbeleni!. Natania aisee, ikiingia usitoe!!!!
Sijalalamikia idadi hata sehemu moja,nawapenda na ninawafurahia,ila boy ukitoa mimba hata moja au kama ulishamtoa msichana nakuombea Mungu asikupe mtoto hata wakubeba jina ili ujue uzito wa unayowaza
 
Back
Top Bottom