miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
mmmmh acha kumdanganya huyu mrembo kuliko aingie kwenye ndoa huyu bora asiolewe me siweziKwa umri huo sikushauri kuachana naye... Jikaze tu uipate ndoa, at least kama hujatongozwa na wanaume angalau watatu zaidi ya three months, sikushauri kabisa kumuacha... Ukiingia ndani ya ndoa atakoma maana itabidi ayabebe hayo majukumu. Vumilia tu bado siku kidogo umalize la saba!
Hahahahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3] pambna na hali yako.Jamani naombeni ushauri wenu ndugu zangu nilikua na rafiki wa kiume close friend yaani tulikua marafiki hasa kiasi kwamba haiwezi pita Masaa 2 hatuwasiliani usiku tunaongea mpaka SAA 5 usiku.
Kuna siku alienda kazini akachelewa kutoka akanipigia best ndio nafika alafu gesi imeisha kwakua ni rafiki sikuona ajabu nikamwambia njoo ule huku akaja kula Sijui kilitokea nini tukajikuta tupo katika mahusiano ya kimapenzi kweli mi nilikua nampenda sana before nadhani hata yeye.
Sasa kilichofanya niombe ushauri ni tabia ya jamaa kifupi tumepanga kufikia December tuwe tumesha tambulishana kwa wazazi lengo tuje tuishi pamoja ambacho simuelewi jamaa anaweza piga simu pika nakuja kula kweli najipinda napika anakula anaondoka au anaweza pata mgeni akaniambia piga ninamgeni tunakuja kula nawapikia jamaa hanunui hata mboga wala tu kujiongeza angalau alete hata nyanya tu hapana
Yeye ana kazi nzuri analipwa karibia 1million per month mimi mbangaizaji tu lakini hata huruma hana nashindwa nimuelewe juzi aliniambia njoo uninunulie lunch nikamwambia sina hela basi.
Jana kaja nimekuja kula ikabidi niandae chakula akala akaondoka jamani nashindwa kumuelewa ni mtu wa aina gani mi sio muongeaji sana nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
Inategemea ntu na ntu. Kama ni mrembo haswa ataonwa na wengi na kuolewa itakuwa sio shida. Ila kama hakujaliwa muenekano mzuri, atasubiri sana kwenye foleni ya kuolewa so ni bora akashikilia chocho lililopatikana. Mengine watarekebishana ndani ya ndoa... Maadam mwanaume atakuwa analipa kodi ya nyumba kama hajajenga, na kulipa bili kama umeme, maji n.k mdada atapata nafuu na hata hela yake ataanza kuiona.mmmmh acha kumdanganya huyu mrembo kuliko aingie kwenye ndoa huyu bora asiolewe me siwezi
me ningepata uchizi .. any way ajipime kama ataweza sababu me siweziInategemea ntu na ntu. Kama ni mrembo haswa ataonwa na wengi na kuolewa itakuwa sio shida. Ila kama hakujaliwa muenekano mzuri, atasubiri sana kwenye foleni ya kuolewa so ni bora akashikilia chocho lililopatikana. Mengine watarekebishana ndani ya ndoa... Maadam mwanaume atakuwa analipa kodi ya nyumba kama hajajenga, na kulipa bili kama umeme, maji n.k mdada atapata nafuu na hata hela yake ataanza kuiona.
Haya ndo madhara ya kuchekewa kuingia katika mahusiano na kujikuta unampokea mtu kwa shauku tu umri umeenda bila kupata nafasi ya kumjua kitabiaJamani naombeni ushauri wenu ndugu zangu nilikua na rafiki wa kiume close friend yaani tulikua marafiki hasa kiasi kwamba haiwezi pita Masaa 2 hatuwasiliani usiku tunaongea mpaka SAA 5 usiku.
Kuna siku alienda kazini akachelewa kutoka akanipigia best ndio nafika alafu gesi imeisha kwakua ni rafiki sikuona ajabu nikamwambia njoo ule huku akaja kula Sijui kilitokea nini tukajikuta tupo katika mahusiano ya kimapenzi kweli mi nilikua nampenda sana before nadhani hata yeye.
Sasa kilichofanya niombe ushauri ni tabia ya jamaa kifupi tumepanga kufikia December tuwe tumesha tambulishana kwa wazazi lengo tuje tuishi pamoja ambacho simuelewi jamaa anaweza piga simu pika nakuja kula kweli najipinda napika anakula anaondoka au anaweza pata mgeni akaniambia piga ninamgeni tunakuja kula nawapikia jamaa hanunui hata mboga wala tu kujiongeza angalau alete hata nyanya tu hapana
Yeye ana kazi nzuri analipwa karibia 1million per month mimi mbangaizaji tu lakini hata huruma hana nashindwa nimuelewe juzi aliniambia njoo uninunulie lunch nikamwambia sina hela basi.
Jana kaja nimekuja kula ikabidi niandae chakula akala akaondoka jamani nashindwa kumuelewa ni mtu wa aina gani mi sio muongeaji sana nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mwanamke akikosa chura dunia ya sasa inakuwa ngumu sana
sina chura lakini huu ujinga sifanyiMwanamke akikosa chura dunia ya sasa inakuwa ngumu sana
Mbona mm unanilea lkn sisemi,acha kumtia ujingaacha ujinga binti yani unalea lijianaume lipuuzi fala kabisa na wewe upo hakuna mpenzi hapo .. okey unalimwanaume lisilojali halafu nategemea mkatambulishane Yesu Ruwa hivi kwa nini usimkimbize huyo tegemezi.. hawezi kuja kuweza nunua hata chumvi .. khee khee halafu utakuja kusema ndoa chungu wewe unafuga mwenyewe hilo lijitu uje utegemee mabadiliko.. kwanza mwanaume wa kutumia pesa ya mwanamke si mwanaume
Kweli nakwambia huyu dada atakuwa hana chura...
kwa hiyo kaka unaona bora aendelee kulea ili aolewe .. mmh maneno yangu siyo sheria