Huyu mwanaume nimfanyaje. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu mwanaume nimfanyaje.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mankaa, Jan 23, 2012.

 1. M

  Mankaa Senior Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habar zenu wana jf..
  Kuna kitu kinantatiza kuna jamaa mmja, ambae ni rafiki yangu tu wa kawaida..sasa amekuwa na tabia ambazo sizipendi naona hata nivunje urafiki wetu..yy anafanya kaz bank ya mikopo af ni hb mbayaa aliwahi ntokea nkamkataa kutokana na jinsi alivyo nahis atakuwa anashobokewa cna na mabint.

  amekuwa na tabia ya kunieleza cna .matatizo hasa ya kipesa na nimekuwa nkimsaidia kma nina weza.nimefahamiana nae ni kama miezi 6 tuu imepita nlishamsaidia mara 2juzi aliniomba nimsaidie alikwama nkamwambia sipo vuzuri realy alinidistabu sana sikupenda.
  Siku zikakatuka jana tena kanipigia ooh nina shida na wee ntakuonaje nkamwambia nkiwa free ntakutafuta..
  Wadau huyu mtu mnafikiri nimfanyaje kwa hii tabia yake ya kunieleza matatizo yake inhali me ni rafiki yake tu.
   
 2. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha ha ha ha!we manka linapokuja suala la kusaidiana unamuona rafiki yako anakudistab?kweli wanawake wa kichaga kiboko.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  kwa sifa ulizotaja, unataka usaidiwe nini?
  Grow up!
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Kama uko katika pstion ya kumsaidia msaidie bwana...Kwani hakurudishii?maisha kusaidiana
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Msaidie jinsi ya kupanga matumizi yake yaendane na mapato. Muambie since mnashirikishana hali ngumu ya uchumi, muambie hata wewe mapato yako hayatoshi inabidi ujipange ndo upate ziada ya kumpa na yeye.
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ndetichia like this post..
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  au unampenda ila unaona noma tu kumwambia angalia tusijeona manyoa...
   
 8. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  well said my wii asipofuata ushauri wako basi tena
   
 9. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Uchaga hapo unaingia vp sasa?!!
  POPOOOOO!!
   
 10. BRO LEE

  BRO LEE JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Acha kujishtukia, ww ndo unamchukulia vibaya ( bluu), huo u hb unahusika vipi? hujasema kama amekutokea/kutongoza. Halafu (nyekundu) marafiki ndo huelezana matatizo ili wasaidiane, ww ulitaka akamweleze nani km siyo ww?.
  Km unahisia nae funguka dada!!!!.
   
 11. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mankaa u r falling in love watch out...
   
 12. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #12
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  huu ndio ukweli.
   
 13. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #13
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  My dia mankaaa,
  Hapo hakuna cha nn wala nn,
  Ww na hyo rafiki yako tayari mko in love,
  Is matter of time tu,mtaambiana ukweli!!
   
 14. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Inategemea! kwani ushamuonesha wa ukweli wako?
   
 15. M

  Makunga JF-Expert Member

  #15
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 772
  Likes Received: 497
  Trophy Points: 80
  Yan sijakuelewa kabisa,sasa anakudistabo kivipi;kukuomba msaada au kuna jingine limejificha nyuma ya pazia,halafu jaribu kutumia lugha inayoeleweka,hivyo vifupisho wengine hatuvielewi.
   
 16. M

  Mankaa Senior Member

  #16
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anavutia kwa mwanamke yyte lakn cjamfill hata kidog
   
 17. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #17
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hehehe...

  Last time i checked u were also a woman!
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hakuna tatizo lolote kama ana shida msaidie. Urafiki ni kusaidiana!
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Maelezo yako hapo juu yanaonyesha kabisa kuwa unamfill..
   
 20. M

  Mankaa Senior Member

  #20
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ananifahamu vizur tu afu kitu kingine ananreact kama mpenzi wake kitu ambacho syo aliniaproch ila nkamtolea nje sa me hata cmuelewi afu kingine cjifill vizuri kumsaidia mara kwa mara coz hawa wenzetu hawachelew kusema wanahongwa.
   
Loading...