Huyu mwanaume nimfanyaje.

Ananifahamu vizur tu afu kitu kingine ananreact kama mpenzi wake kitu ambacho syo aliniaproch ila nkamtolea nje sa me hata cmuelewi afu kingine cjifill vizuri kumsaidia mara kwa mara coz hawa wenzetu hawachelew kusema wanahongwa.

Mweleze ukweli basi na huo urafiki uvunje kabisa ili uondokane na mzigo wa kumsaidia kila mara...
 
Kiukweli nampenda kama rafiki tuu..lakini kinachonikera ni kumsaidia tuu much...afu me sijisikii vizuri then me cjawahi kumuomba msaada hata cku moja
 
Kiukweli nampenda kama rafiki tuu..lakini kinachonikera ni kumsaidia tuu much...afu me sijisikii vizuri then me cjawahi kumuomba msaada hata cku moja

Yeye anafahamu fika kwamba kuna siku na wewe utahitaji msaada wake...u know wht i mean
 
Mi natoa dedication ya "WANAUME KM MABINTI" wa Lady Jay Dee then nasema PIGA CHINI kwa kuwa hata km angekuwa ni msichana na ananifaniya mimi hayo ningempiga chini
 
Ha ha ha ha ha ha!we manka linapokuja suala la kusaidiana unamuona rafiki yako anakudistab?kweli wanawake wa kichaga kiboko.

Siyo ishu ya uchaga hapa dia..ila jaman we mtu daily unamsaidia tuu ye hana msaada kwako wwt kwako utajifik vipi
 
Na hapa ananipigia eti anataka kuonana ns me mda huu najua tu ananieleza shida..wallah sionani nae
 
Mi natoa dedication ya "WANAUME KM MABINTI" wa Lady Jay Dee then nasema PIGA CHINI kwa kuwa hata km angekuwa ni msichana na ananifaniya mimi hayo ningempiga chini
Haya ndo mawazo yangu coz mwanaume anakuwa hana hata aibu anaomba omba
 
Habar zenu wana jf..
Kuna kitu kinantatiza kuna jamaa mmja, ambae ni rafiki yangu tu wa kawaida..sasa amekuwa na tabia ambazo sizipendi naona hata nivunje urafiki wetu..yy anafanya kaz bank ya mikopo af ni hb mbayaa aliwahi ntokea nkamkataa kutokana na jinsi alivyo nahis atakuwa anashobokewa cna na mabint.

amekuwa na tabia ya kunieleza cna .matatizo hasa ya kipesa na nimekuwa nkimsaidia kma nina weza.nimefahamiana nae ni kama miezi 6 tuu imepita nlishamsaidia mara 2juzi aliniomba nimsaidie alikwama nkamwambia sipo vuzuri realy alinidistabu sana sikupenda.
Siku zikakatuka jana tena kanipigia ooh nina shida na wee ntakuonaje nkamwambia nkiwa free ntakutafuta..
Wadau huyu mtu mnafikiri nimfanyaje kwa hii tabia yake ya kunieleza matatizo yake inhali me ni rafiki yake tu.

kama ni rafiki yako unaemjali jaribu kushauriana nae jinsi ya kupanga matumizi yake, kama anaweza kukwambia ana shida ya hela, naamini if you are close, anaweza kukkwambia na hiyo shida ya hela inatokana na nini, ukishajua source ya matatizo yake ya hela, then utakuwa kwenye position nzuri ya kujua solution.

kuna msemo unasema usimsaidie mtu chakula, mpe jembe akalime ili apate chakula, kwa kumpa chakula straight unamuongezea dependency.
 
Ananifahamu vizur tu afu kitu kingine ananreact kama mpenzi wake kitu ambacho syo aliniaproch ila nkamtolea nje sa me hata cmuelewi afu kingine cjifill vizuri kumsaidia mara kwa mara coz hawa wenzetu hawachelew kusema wanahongwa.
Mankaa nyie ni watu wazima, na mmefahamiana zaidi ya miezi 6, kila mmoja ashamuonesha mwenzie mwenzi wake, huyu ni wifi yako na huyu ni shemeji yako?
Au mpo mpo tu jamaa kila anayemkalia vizuri anapita nae, na wewe kila anaekaa sawa unampa, labda jamaa unajua ashagonga mtu wa karibu yako unaemjua ndio unaona soo! kumpa au?
Wewe una mume au rafiki?
Na yeye ana mke au rafiki?
 
Haya ndo mawazo yangu coz mwanaume anakuwa hana hata aibu anaomba omba
Mankaa hapo huhitaji kuendelea kubaki na kero,kwanza jamaa kashakuona ATM yake,so anakutumia then one day anakufanyia kitu kitakachokuumiza sana hadi ushangae,bora ujivue gamba mapema na uache huruma. Tumia ustaarabu kujitoa.
 
Yy ana g.frnd ila cjawahi muona na ye anajua nna mtu wangu ila hamfahamu
 
Mankaa huyo hafai kuwa rafiki yako! Kwanza mmojawapo ya sifa za urafiki muwe mnaendana mambo fulani fulani? kama kupeana kampani katika msosi kushare life opinion, na mambo kama hayo.

Sasa huyo mpaka mnahitana marafiki, urafiki wenu ulikuja vipi? na kama unaona sasa hivi haendani na wewe dada mankaa, piga chini kwani kujuana sababu.
Alafu isije kuwa ni mision town huyo kajua unazo kaja na gea hizo, kwani ushafika mpaka ofisini kwake? tena kwa kumsuprise maana mnaweza ongoza nae ashamuandaa jamaa yake nakuja na demu wangu, sasa nilimuongopea nafanya kazi hapa? Mbona tushawapisha sana tu ofisini washkaji zetu.
 
Me nadhan anafikiri mambo yangu mazuri coz cku tumefahamiana nlipata ajali na gari nliyoazimwa na b,frind wangu ntumie kwa cku moja labda ndivyo anavyoniona..
 
love is in the air......otherwise usingehangaika humu kwa mtu uliyemjua miezi 6 tu
 
Back
Top Bottom