Huyu mwanaume jamani!

wazazi walidai hawana pesa wajipange mpaka mwez wa saba sasa akakataa anasema wasaba mimba itakua kubwa itaoneka bora nitoe au nisubiri nijifungue ndo tungendoa
Hee! Wewe mwanamke! !!! Are you serious with your life
 
huyo mwanaume hajielewi, be strong mdadaa fungasha virago nenda kwa wazazi, utakufa siku si zako huko ohoooo!but pole my dear
 
hebu zinduka binti....huyo mwanaume hakujali wewe wala hicho kiumbe chenu kilicho tumboni mwako..hakupendi na alikuwa anakutumia muda wote huo im sorry to say that...hivi mtu anayekupenda,aliyekuposa atadiriki kukwambia maneno kama hayo eti ule dawa fulani utoe mimba au hawezi kukusaidia??..nadhani ur in so love and immatured huoni hata whats wrong,ukikua utakumbuka haya useme i was so stupid...but you know what in life we stumble and fall,and we raise up and move on, chukulia this is one of ur mistake learn from it!!...we achana nae shika yako na washirikishe wazazi wako....hakika watakusamehe kwa makosa yako....
OBS:usithubutu kutoa hio mimba!
 
^^
Hili suala linanipa maswali mengi kuliko majibu !! Anyway fuata shauri la wengi
^^
 
Huyo siyo mwowaji. Nenda kwenu kazae mtoto ni faida yako.
 

du pole lov.. wewe enda kwao wakakutunze ili akarushe hizo tarehe vizuri.. don suffer alone bwana... unaeza pata kabadilisha mawazo... muoaji hakushaur ukatoe mimba hata dkika 1, sasa hivi ushaanza mpoteza ila uki'terminate hyo mimba ndy anakukimbia ki1... chezea hawa viumbe wanaowaza kwa vichwa vidogo.
 

I support this one.. don't abort go to his parents... u never knw atabadil mawazo na ndoa ifungwe. wako watu walikana mimba zao but baadae waliwafata hao wanawake nabndy wake zao sasa hivi.
 
Ndio wewe uliambiwa utoe mimba? Kuna Uzi uliletwa humu maelezo yake yanaendana na haya . siwezi kuretrieve ule Uzi.

mh story yake kama inarelate na uzi niliuleta hum jamaa alinishauri nitoe mimba tho nilimdanganya nijue mustand wake... na hivi karibun alisika wenzie akisema dem wake anamimba then yupo arusha... mh. bt anyways napta tu.
don't abort mama
 
weww lakufanya ondoka liwalo naliwe mbwa huyo mwanaume
 
Mmmh sina usemi kwa kuwa ishatokea.
Ila sasa maisha yalivyo na hawa wanaume wapenda chee! Yaani some time hadi ndani ya ndoa mwanamke ndiyo uamue wanaume wengi hawapendi kuwajibika ila wachache sana.

Pole sana dadangu hapo msahada mkubwa ni nduguzo kwani uyo mwanaume hata si mumeo na wewe ndiyo wakuamua kumpa au lah.
 
Umegegedwa bila ndomu sasa ona majuto.......
 
Mbona maelezo yako yanafanana na uzi uliokuwepo humu, hadi kuhusu kuahirisha ndoa coz wazazi hawana pesa.
 
Pole jack,,,,,
Hapo naona kama hakuna ndoa vile...... pia kwani huwezi kuishi bila huyo kaka??? wakati unafanya kazi hukuwa una save??
Maisha haya hutakiwi kubembeleza sana na jifunze kusimama kwa miguu yako mwenyewe!.
 
Huwa najiuliza sipati majibu..watu wanasema furaha ya ndoa ni mtoto leo hii wanaotarajia kuoana wamebebshana mimba eti wanajishauri tena kuitoa..
Bidada na ukitoka kizazi ushindwe kuzaa baadae utalea wa wenzio..
Halafu isje kua ulibeba mimba ukajiaminisha itarahisisha ndoa kufungwa haraka....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…