Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,379
Huyo si mwanaume
ukiona hivyo jua ni mtaalamu wa mizinga weka mbali na resources zako hakufaimara ya kwanza aliniaproach nimekaa nae kama mwez mmoja akaanza mizinga ya vocha,mara una elfu kumi ya fasta,unitumie,mara sehemu nilipo nimbal na duka nirushie vocha,nikajua ni kwel amekwama,nikagundua nimchezo wake,hajawah kunipa ata sh.mia,nilichofanya nilikata mawasiliano ghafla ad akashangaa,akipiga cm cpokei,wala cjibu sms zake,mwaka miezi imeisha,majuz,nimeonana nae,akanambia anashangaa nimemchunia, baada ya cku 2 ananitext,baby sory,niko home ninashida na vocha cwezi kutoka kuna mvua kubwa,
Chimunguru ndioHuyo si mwanaume
unaona ni kawaida kwa mwanaume kupiga mizinga?na wewe ndio walewale
Mwanaume mzima unaomba omba tuu kwa mtoto wa kike, lzm awe hamnazo hahaaaa
mara ya kwanza aliniaproach nimekaa nae kama mwez mmoja akaanza mizinga ya vocha,mara una elfu kumi ya fasta,unitumie,mara sehemu nilipo nimbal na duka nirushie vocha,nikajua ni kwel amekwama,nikagundua nimchezo wake,hajawah kunipa ata sh.mia,nilichofanya nilikata mawasiliano ghafla ad akashangaa,akipiga cm cpokei,wala cjibu sms zake,mwaka miezi imeisha,majuz,nimeonana nae,akanambia anashangaa nimemchunia, baada ya cku 2 ananitext,baby sory,niko home ninashida na vocha cwezi kutoka kuna mvua kubwa,
Umenikumbusa mbali sana wimbo huo.Ahahahahahaaaaaaa!!! bolingo na ngai.
Mwanaume mzima unaomba omba tuu kwa mtoto wa kike, lzm awe hamnazo hahaaaa
Km kuna kabila flani la Tanga, wamtungiwa na msemo eti Mdigo mzigo, nasikia hao jamaa wanapenda kuolewa vibaya mnoo, samanani km wapo humu lkn ndivyo msambaa mmoja alivyonihadithiahahaaaaaaaa umenichekesha lol...kuna kule kuombana kwa kusaidiana ila jamaa kazidi wallahi
mara ya kwanza aliniaproach nimekaa nae kama mwez mmoja akaanza mizinga ya vocha,mara una elfu kumi ya fasta,unitumie,mara sehemu nilipo nimbal na duka nirushie vocha,nikajua ni kwel amekwama,nikagundua nimchezo wake,hajawah kunipa ata sh.mia,nilichofanya nilikata mawasiliano ghafla ad akashangaa,akipiga cm cpokei,wala cjibu sms zake,mwaka miezi imeisha,majuz,nimeonana nae,akanambia anashangaa nimemchunia, baada ya cku 2 ananitext,baby sory,niko home ninashida na vocha cwezi kutoka kuna mvua kubwa,
Ahahahahahaaaaaaa!!! bolingo na ngai.
haki sawa kwa wote,yaani kisa mm ni mwanamume sina haki yakumpiga mwanamke kibomu.Kwangu huwa nikawaida sana.
wengne ni alshabab na wapagani hatujui biblia wala qurani!!
pumbafu kwan mapenz in one sided, mhongwe nyie tu wacha ushamba wewe, Ukimpenda mtu unamtoa kwan mwanaume ana gurantee ya kutopata shida?
biblia inasemaje???au mnataka kubadilii maandiko ya vitabu vitakatifu?
mshua umesema, issue sio kuomba, issue ni kuomba kila wakati. Hata kwa demu, akiomba kila wakati Ana masomo huyo, na hafai
Duuh kweli dunina imebadilika lakini kwa mwanaume au kijana yeyote nadhani ni aibu kuomba pesa kwa GF au mchumba wako kila wakati daaaah