Mu-sir
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 3,621
- 1,640
mshua umesema, issue sio kuomba, issue ni kuomba kila wakati. Hata kwa demu, akiomba kila wakati Ana masomo huyo, na hafai
Kila mtu na perception yake lakini ni afadhali kwa demu kuomba kuliko mshkaji kuomba kila wakati nadhani hii sio desturi tangu zamani hayo mengi ya hafai au anafaaa ni personal zaidi.