huyu mwanaume hana aibu lo!

huyu mwanaume hana aibu lo!

bila shaka huyo mwanaume atakuwa mkongo man maana hao jamaa kwa mizinga ni nooma,ila dada zetu wanawazimikia nasikia wanawagegeda vizuri huku wakiwaimbia nyimbo za kikongo.

Ahahahahahaaaaaaa!!! bolingo na ngai.
 
the type of men u attract is a true reflection of the type of woman u r.
 
namaansha kuwa analia hapa kwa kutoa hzo vocha na faranga kwa mchizi,ila kama mchizi angekuwa anatoa hzo vocha na kumpa bidada isingekua tatizo kwake na wala asingekuja hapa jamvini

biblia inasemaje???au mnataka kubadilii maandiko ya vitabu vitakatifu?
 
Dah cost sharing ni suala gumu kweli kwetu wabongo yaani hata kama demu ana hela hataki boyfriend wake atumie
ila yeye anataka atumie za mwanaume kweli hatari
 
Dah kweli hana Aibu huyo mjamaa,Signature yangu hapo chini inamuhusu
 
wanaume dizaini hii wanaboa sana aisee,.
 
Acha kulialia wewe cha maana akija mlazimishe apige goli nyingi!!!!!!
 
majuz,nimeonana nae,akanambia anashangaa nimemchunia, baada ya cku 2 ananitext,baby sory,niko home ninashida na vocha cwezi kutoka kuna mvua kubwa,

Huyu mwanamme ni "YAHAYA" na huwa wananikera sana wanaume kama hawa
 
Dah cost sharing ni suala gumu kweli kwetu wabongo yaani hata kama demu ana hela hataki boyfriend wake atumie
ila yeye anataka atumie za mwanaume kweli hatari

sina hela kama unavyodhani, jamaa ukimuona the way alivyo huwez amini.
 
mmmmh mwanaume anakuomba pesa au vocha??? kweli hii ni ajabu mimi sijawahi kuona nahisi huyo ana kasoro fulani au ni mwanaume kama Binti

haki sawa kwa wote,yaani kisa mm ni mwanamume sina haki yakumpiga mwanamke kibomu.Kwangu huwa nikawaida sana.
 
haki sawa kwa wote,yaani kisa mm ni mwanamume sina haki yakumpiga mwanamke kibomu.Kwangu huwa nikawaida sana.

sikatai kusaidiana ni muhimu, lkn wewe hujistukii kila siku ww ndio unamuomba mwanamke, alafu yeye hajawah kukuomba ata siku moja, kama na ww ndo tabia yako em badilika haipendezi kwa mwanaume lo! cjapata ona.
 
Back
Top Bottom