Huyu mwanaume ananichanganya sana

Daaah pole sana ...upo Dar? ?
 
Swali la utangulizi:

Naomba niulize hivi kuna wanawake wakikaa na kuishi bila kutumia pesa ya mwanaume kwao maisha hayaendi?

Mchango:
Anakulalia ni vibaya kama anakula hadi kwako ila kusex na wewe sio guarrantee ya kulipwa labda kama unamuuzia.
 

Pole sana. Subiri uzalishwe mtoto wa pili na kuachwa ndipo akili yako itakaa sawa sawa.
 
Gold digger wa kiume huyo!
Hakuna uwezekano wa kurudiana na baba wa mtoto wako?huyu mchumba wa sasa umemzidi umri?

Ila kwa upande mwingine nakushauri kama unaweza uwe unamuomba ukihitaji..kuna watu ambao hawawezi kujiongeza,hawatoi bila kuombwa
 
Kama unaweza kujihudumia kwanini utake pesa ya kupewa? Sidhani kama anakula chakula cha gharama kubwa kiasi kwamba anakutia hasara. Kama kweli wampenda endelea naye ukiwa umeshajipanga kisaikolojia kwamba unapaswa kuendelea kujihudumia na si kuhudumiwa na huyo mchumba wako.

Ukiona vyema mpe hiyo sh.40,000/= ila siyo lazima maana ni pesa yako na una hiari ya kumpa au kumnyima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…