Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah pole sana ...upo Dar? ?huyu mwanaume kanichosha kabisa Sijui tu nifanyeje nimpenz tumeahidiana kuoana anavyodai by DEC tuanze process za kutambulishana nyumban japo ndugu zake au wazazi wake naongea nao kwenye cm so wanafaham mtoto wao anamchumba japo hawajaniona
Kinachonikela kwa mchumba wangu huyu hana akil ya kujiongeza....Mimi ninaduka lina mtaji kama mil 2 au 1.5 hivi so kwa mwez naweza pata faida kama ya lak 4 ....mwenzangu anafanya kaz katika kampun flan anamshahara mzuri tu kuanzia million hv....
Tatizo la mtu wangu hajui mwanamke anahitaji hiki wala hiki.....Mimi sina tabia ya kumuomba hela hua nampa Uhuru tu anipe yeye atakayoona kama mwanamke naitaji matumiz gani..
Ajabu hawez jiongeza kabisa anaweza akaja kwangu akala akalala akaondoka asubuh haachi hata hela ya matumiz au akaja akashinda akala akalala akaondoka bila hata kujali chochote...
Yaan nakuta najigharamia kilakitu kuanzia,, kodi, bills zote, mafuta ya kupaka,,saloon,, nguo kula yaan kila kitu....
Kuna kipindi nilijaribu kuongea nae akasema OK sory akawa akija kulala asubuh anacha elf 5 ya matumiz ilienda kama siku 3 hv akaacha...napata uchungu Mimi ninamtoto nilizaa na mwanaume mwingine hua anatoa hela ya matumiz ya mtoto...unakuta mzazi mwenzangu akinitumia hela nanunua vyakula naweka ndani tunatumia na huyu mchumba wangu moyo wangu unauma nashindwa niamue nini naogopa kumpoteza maana umri umeenda Nina 30yrs..
Napata uchungu kuona nahangaika kutafuta maisha nakaa Dukan kuanzia asubuh mpaka SAA NNE sina msaada wowote yeye akija niku sex tu asubuh akaondoka na anaweza akafululiza hata siku 4 kila siku anakuja kulala na anisaidii chochote
Sasa Jana kaniombia anashida nimtafutie elf 40 mshahara ukitoka atanirudishia nimemwambia sina akadai tafuta tunza kila siku elf 10 katika biashara yako jpil unipe mshahara ukitoka nitakurudishia......bado nawaza hata hanionei huruma???
Naomben ushauri ndugu zangu
huyu mwanaume kanichosha kabisa Sijui tu nifanyeje nimpenz tumeahidiana kuoana anavyodai by DEC tuanze process za kutambulishana nyumban japo ndugu zake au wazazi wake naongea nao kwenye cm so wanafaham mtoto wao anamchumba japo hawajaniona
Kinachonikela kwa mchumba wangu huyu hana akil ya kujiongeza....Mimi ninaduka lina mtaji kama mil 2 au 1.5 hivi so kwa mwez naweza pata faida kama ya lak 4 ....mwenzangu anafanya kaz katika kampun flan anamshahara mzuri tu kuanzia million hv....
Tatizo la mtu wangu hajui mwanamke anahitaji hiki wala hiki.....Mimi sina tabia ya kumuomba hela hua nampa Uhuru tu anipe yeye atakayoona kama mwanamke naitaji matumiz gani..
Ajabu hawez jiongeza kabisa anaweza akaja kwangu akala akalala akaondoka asubuh haachi hata hela ya matumiz au akaja akashinda akala akalala akaondoka bila hata kujali chochote...
Yaan nakuta najigharamia kilakitu kuanzia,, kodi, bills zote, mafuta ya kupaka,,saloon,, nguo kula yaan kila kitu....
Kuna kipindi nilijaribu kuongea nae akasema OK sory akawa akija kulala asubuh anacha elf 5 ya matumiz ilienda kama siku 3 hv akaacha...napata uchungu Mimi ninamtoto nilizaa na mwanaume mwingine hua anatoa hela ya matumiz ya mtoto...unakuta mzazi mwenzangu akinitumia hela nanunua vyakula naweka ndani tunatumia na huyu mchumba wangu moyo wangu unauma nashindwa niamue nini naogopa kumpoteza maana umri umeenda Nina 30yrs..
Napata uchungu kuona nahangaika kutafuta maisha nakaa Dukan kuanzia asubuh mpaka SAA NNE sina msaada wowote yeye akija niku sex tu asubuh akaondoka na anaweza akafululiza hata siku 4 kila siku anakuja kulala na anisaidii chochote
Sasa Jana kaniombia anashida nimtafutie elf 40 mshahara ukitoka atanirudishia nimemwambia sina akadai tafuta tunza kila siku elf 10 katika biashara yako jpil unipe mshahara ukitoka nitakurudishia......bado nawaza hata hanionei huruma???
Naomben ushauri ndugu zangu
HahahhaaSiku izi unalala sana joseverest