Elia
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 3,425
- 567
Kwa kweli ilinisikitisha kweli na ukiwaona wanavyopendana huwezi kuamini haya la we acha tu dunia ina mambo
Nasikia hasiraaa :A S cry:
Kwa kweli ilinisikitisha kweli na ukiwaona wanavyopendana huwezi kuamini haya la we acha tu dunia ina mambo
cku hizi wanaopataga muda wa kuandika barua bac, unatupiwa vinguo viwili vitatu vya kukusitiri kwa cku kadhaa huko kwenu kabda haujajipanga kuja kufungasha kilicho chako....(viasarawili an viagauni ulivyobakiaza)
Ndo mana wengine wanasema kamlimbwata .......... ila huyo mwanaume naye hana ma'shosti' zake wa kiume wamvute masikio kidogo? kupenda gani huko upofu??Kwa kweli ilinisikitisha kweli na ukiwaona wanavyopendana huwezi kuamini haya la we acha tu dunia ina mambo
Wewe hunizidi mimi niliyokuwa nayo jana mpaka nikaona niilete hapa aliniudhi mpaka basi sijui wanawake wengine wanakuwaje kha!!!
<br />Hili nimeiona mara kadhaa kwa wanawake i don't know what is wrong with you ladies kuna jirani yangu mkewa alitumia hela yote ya kununulia 'ka usafiri' kwenye 'dili zake'. kumzuga mumewe ambaye alikuwa ni mtu wa safari za mara kwa mara anakodi gari kwa muda ambao mumewe yupo akimdanganya ni letu. mwisho wa siku ilikuwa aibu
Ni Baba wa watoto wanne wana ndoa nzuri tu. Imetokea shida ndani Mama kachukua mkopo Benki mara ya kwanza bila Mumewe kujua alikopeleka pesa anajua yeye akashindwa kulipa Benki wakaja wakabeba kila kitu mume kurudi kawa mkali kabembelezwa kakubali wakaanza upya, Mama kabadili Benk the same story wakabeba kila kitu, leo ni mara ya tatu wakaja mchana wa leo wamebeba kila kitu km kawaida kumbuka hii nayo ni Bank tofauti mzee kurudi kukuta yale yale ya kusafishiwa nyumba kamtimua mkewe yuko anaomba msaada plus msamaha arudishwe. Mie nauliza huyu Baba ana makosa kwa hili kweli? Kwangu binafsi naona yuko right....
huyu mwanamke hampendi mumewe ,mara zote alizosamehewa hakujifunza kitu.
Nina mashaka na mawasiliano yao huenda ni mabovu inakuaje mpaka anaweka rehani mali ya familia bila mume kujua sijaelewa bado.
Ni Baba wa watoto wanne wana ndoa nzuri tu. Imetokea shida ndani Mama kachukua mkopo Benki mara ya kwanza bila Mumewe kujua alikopeleka pesa anajua yeye akashindwa kulipa Benki wakaja wakabeba kila kitu mume kurudi kawa mkali kabembelezwa kakubali wakaanza upya, Mama kabadili Benk the same story wakabeba kila kitu, leo ni mara ya tatu wakaja mchana wa leo wamebeba kila kitu km kawaida kumbuka hii nayo ni Bank tofauti mzee kurudi kukuta yale yale ya kusafishiwa nyumba kamtimua mkewe yuko anaomba msaada plus msamaha arudishwe. Mie nauliza huyu Baba ana makosa kwa hili kweli? Kwangu binafsi naona yuko right....
Hapo ndipo palikuwa pagumu tukawa tunajiuliza may be wakati mumewe yuko kazini yeye ndo anafanya hayo ila mara tatu zote that's too much bana kha!!!
Sijui ni upole au kitu gani mie sielewi kabisa kwa kweli
<br />
<br />
Jamani hii tena kiboko yaani kwa kweli mie nasikia hasira kwenye hilo
Nashawishika kuamini huyo mwanaume aliolewa na mwanamke kwa minajili hiyo mwanaume alikuwa hana meno kwa kosa la kwanza na la pili hili la tatu jamaa ameamua kuuvaa uanaume kweli na kumrushia nguo zake kwenye malibolo.
Ha ha ha ha eti kamuoa mchokozi wewe
Huyo baba kweli anampenda mke wake tena mapenzi ya dhati....
huyo dada hata angekua mdogo wangu ningemkaribisha nyumbani kwa mikono miwili. Hampendi mumewe, hamueshimu, hamshirikishi, hajaona thamani ya huyo mume! vipi anataka kumuua baba wa watu wakati kuna ladies akili zimetulia na wanatafuta waume???