Huyu mwanaume ana makosa?

Kha! duniani kuna mambo...kosa la kwanza lingesamehewa,la pili ingebidi baba atake action na pia awe muangalifu kwa mkewe...hili la tatu ni red card tu!

lakini pia huyo mzee hr should recheck himself mapungufu yake,huenda anakosa mawasiliano na mkewe ama kuna wajibu hatekelezi.

<br

Ha ha mawasiliano not reachable? Haha sikuwezi wewe...

Hakuna kumtimua mke. Ndo mzigo wenyewe huo na huyo mume aubebe. Kwani alivyokuwa anakubali apizo bila shuruta alidhania the negative side haitakuja? Anyway let me think a bit.....mhh mkopo bank? Dhamana ni household furniture etc? Hiyo bank inayokopesha iko wapi mazee? @DA fuatilia hiyo bank utujulishe! Lol love u JF

Akiba Comercial Bank, Dsm Com bank, ya mwisho KCB

bank za kibongo kukopa inabidi uwe unafanya biashara ya bangi au cocaine ndipo uweze kulipa JK NYERERE!riba zake kubwa wakati japan wanaenda kwenye 0.5% interest rate!sisi 18%.

bank za kibongo kukopa inabidi uwe unafanya biashara ya bangi au cocaine ndipo uweze kulipa JK NYERERE!riba zake kubwa wakati japan wanaenda kwenye 0.5% interest rate!sisi 18%.

Watu wanakopa sana tu ndugu yangu ..

Mhhhh! Hapa labda kuna moja ya haya au pia yote yapo ndani ya ndoa hii:

1. Mume kalishwa lile linaloitwa "limbwata", hivyo hasikii wala haoni kwa mkewe huyu hata tende kosa kubwa kiasi gani
2. Mke shughuli zake si za kawaida na mke anajua hilo, hivyo mume kila anapofikiria kumuadhibu kwa namna moja au nyingine kitu ambacho kinatishia ndoa yao, basi mume hushindwa kuchukua hatua yoyote ile.
3. Mume huyu ni wale wanaitwa B**** mtozeni, huwa hakaripii wala kuchukua hatua yoyote ile dhidi ya mkewe hata afanye kosa kiasi gani.

Kufanya kosa mara ya kwanza si kosa lakini kulirudia kosa lile lile tena mara tatu! Mhhhhhh! Mke huyu ana bahati ya mtende kwa kujipatia mume mpole kiasi hiki, waume wengine wengi wangekuwa wameshampotezea na ndoa yako kubaki history.

Ha ha BAK ndo maana huwa nakumic mno

bank za kibongo kukopa inabidi uwe unafanya biashara ya bangi au cocaine ndipo uweze kulipa JK NYERERE!riba zake kubwa wakati japan wanaenda kwenye 0.5% interest rate!sisi 18%.

Bwana wewe jamaa wamechukua mpaka kausafiri kao ka home, bahati mzee anakengine anakatumia hakajachukuliwa

Hapo huyo baba hana kosa kabisa, mwenye kosa ni huyo mwanamke, kwa nini hakujifunza kutokana na kosa la kwanza?

Kuna wanawake wengine wa ajabu kwa kweli.....................lakini ndio wenye bahati ya kuwapata waume wema

Huyu dada the next thing ilikuwa ni kumpa mume wake ugonja wa moyo maana kama ni kuvumulia mume amevumilia vya kutosha ni mtu gani unafanya kitu karibia mara tatu na haujifunzi wala kuona kama unakosea

Naamini HUYO BABA na yeye ni part ya tatizo,na yaelekea kama hiyo nyumba yao hakuna mawasiliano kati ya baba na mama.Lilipotokea mara ya kwanza huyo baba alitakiwa anajaribu kuwa karibu na huyo mama washauriane, Yawezekana mama ana nia nzuri ila kukosekana msaada wa mawazo wa huyo baba ndo kunachangia kushindwa kurudisha mkopo

Nilipofungua hii thread na kuisoma nilitamani niwe huyo baba, ningemtimuaje huyo wife? Ila baada ya kusoma post hii nimebadili kidogo mawazo, inawezekana kweli huyo mama anamakosa lakini huyo baba inawezekana atakua na mapungufu hasa katika kukidhi mahitaji ya familia ndio maana huyo mama haishi kukopa kopa ili aweze kujikimu na wanae maana watoto wanne sio mchezo jamani. Shule, kuumwa, matibabu nk. labda Dena utueleze cause ni jirani yako familia anaitunza vizuri kweli au? ndio wale wale suruale (mnisamehe lol)

Ili suala mimi naomba tuliangalie kwa marefu na mapana yake. Zipo couples (tena nyingi sana) ambazo mume ni 'control freak' yaani hataki mkewe aguse hela ya kutafuta mwenyewe,mme huyo anataka kila kitu mkewe amwombe yeye.Binadamu ni binadamu,matokeo yake mama anajianzishia vimiradi vya 'siri' na vikibaranguka matokeo yake ndo haya. Na sisi kina baba tujifunze kuwapa uhuru wenza wetu nao wachakarike tena kwa uwazi kabisa,hii inawasaidia na wao kujenga self respect na kumaliza matatizo yao madogo madogo,hasa yahusuyo familia zao bila kumsumbua mume.

Ni Baba wa watoto wanne wana ndoa nzuri tu. Imetokea shida ndani Mama kachukua mkopo Benki mara ya kwanza bila Mumewe kujua alikopeleka pesa anajua yeye akashindwa kulipa Benki wakaja wakabeba kila kitu mume kurudi kawa mkali kabembelezwa kakubali wakaanza upya, Mama kabadili Benk the same story wakabeba kila kitu, leo ni mara ya tatu wakaja mchana wa leo wamebeba kila kitu km kawaida kumbuka hii nayo ni Bank tofauti mzee kurudi kukuta yale yale ya kusafishiwa nyumba kamtimua mkewe yuko anaomba msaada plus msamaha arudishwe. Mie nauliza huyu Baba ana makosa kwa hili kweli? Kwangu binafsi naona yuko right....

Huyo mwanamme kabisaa hana makosa, ILA NADHANI AIDHA NI MPUMBAVU AU NI MJINGA SANA!

Similar Discussions

Back
Top Bottom