Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,658
Ndio maana nakupendaga sema nilichelewa bahati yanguAchana naye mkuu..jali yako
Ndio maana nakupendaga sema nilichelewa bahati yangu
[/QUOTE
😅😅..kubeba mizigo ya mtu mwingine mgongoni mwako inaumiza sana😍😍😍
Mbona yeye anafuatilia ya wenzie...Achana naye mkuu..jali yako
Mbona yeye anafuatilia ya wenzie...
Watu wa aina hii wapo kweli?Nadhani mwizi mzuri ni yule anayekula pamoja na jumuiya. kuliko kwenda kuzificha ughaibuni huko Jessey Island kama kina Joka la makengeza
Huyo ni wakala wa ufisadi wa boss wake, usishangae sanaHana hata miaka mitano kwenye mainstream politics. Hakuna biashara yeyote anayofahamika kufanya. Mshahara wake ndani ya hii miaka mitano hauwezi nunua hata moja ya magari ya kifahari anayo miliki. Kutwa anagawa pesa kama zawadi. Hapo jana tu amegawa mamilioni ya pesa kwa timu ya mpira. Anaandaa buffet za bei ghali sana na mikato pia ndani ya kumbi za bei ghali sana (Mlimani City). Ila cha kushangaza hakuna anejua chanzo cha pesa ya huyu jamaa!!!!!!
Mkuu twende tukalime tu mahindi yana soko Zimbabwe...Hana hata miaka mitano kwenye mainstream politics. Hakuna biashara yeyote anayofahamika kufanya. Mshahara wake ndani ya hii miaka mitano hauwezi nunua hata moja ya magari ya kifahari anayo miliki. Kutwa anagawa pesa kama zawadi. Hapo jana tu amegawa mamilioni ya pesa kwa timu ya mpira. Anaandaa buffet za bei ghali sana na mikato pia ndani ya kumbi za bei ghali sana (Mlimani City). Ila cha kushangaza hakuna anejua chanzo cha pesa ya huyu jamaa!!!!!!