Huyu mwanamke sio mbahili na anayajua

socket

JF-Expert Member
Nov 21, 2014
305
426
Huyu mwanamke ni mzuri kuanzia rangi yake nyeupe, kifuani yuko wastani, tako na hips za uchokozi na miguu ya wastani

Kiukweli siku ya kwanza kumuona nilishtuka maana sijawahi kuona mrembo kama huyu ofisini kwetu, ikabd nimuone HR ili anipe taarifa na kina na nilizipata japo HR alimwambia nimeoa. Bila kukata tamaa nikaomba namba nikapewa.

Baada ya siku 2 ikawa weekend mtoto akanitafuta maana nilishamsahau kwasababu ya ubize, bahati mbaya alilewa sana (sio mnywaji japo anatamani) wakampeleka nyumbani so nilimkosa. Kesho yake akaniomba msamaha na tukakutana (kiujumla alinipenda kwa vigezo vyake).

Sifa nyingine huyu dada sio wale wakuomba hela kila uchao na akiomba ujue ni katika kuweka heshima isionekane kila kitu anajinunulia na leo kaniambia nitafute hotel tujifungie kwa gharama zake (japo najua na mm nitachangia kiume).

Binti wakichaga akupende mwenyewe utaenjoy kila kitu mpka kwenye bed

Mimi niwaambie tuu mwanamke wa kichaga ni adhimu na kama unampenzi mchaga jitahidi kumlinda na kumpa upendo.

Kama unataka mtoto wa kichaga basi vyuoni wamejaa, kwenye ofisi na maduka ya jumla kule Kariakoo
 
Hawajui wasukuma vizuri.
Kuna mmoja nilimuuliza "kwa nini mnaanguka kizembe kwa wanaume wa kisukuma"
Jibu lake lilinifanya nicheke 😂😂😂

Alijibu hivi "kina ngosha wana mahaba yasiyo ya kisanii, tena wanajua kuupeleka moto kunakohusika!"

Nilibaki mdomo wazi tu Ila bibie wa kichaga alinifanya nitamani kuwa ngosha og 😂
 
Huwa wanaanzaga hivyo Kwa kujilengesha na kuonesha ukarimu na ucheshi kupita kiasi ili ujichanganye uoe ,

Sasa ukishaweka ndani ndio utaanza kuona rangi zao halizi kama upinde wa mvua!
 
Wanawake wa kichaga sio malaya cha msingi mheshimu tuu
 
Back
Top Bottom