Huyu mwanamke simwelewi

Unahangaika tu kijana bila kutulia Tuko Lindi na tunapata totoz za kinyantuzu kama kawaida nitafute nikuachie Prisca wangu wa maeneo ya mchinga hapo. mtzmweusi msaidie mdogo wetu wamwera wanamtesa.
 
Kwamba ukigeuka nyuma, kulia, kushoto unamuona Madame G!!!!
"Kuna kusubiri na kuna kupoteza muda" angalia usije kudhani unafanya Subra kumbe unapoteza muda, halafu pia fikiria umri wa G unaelekea alasiri,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye Kupenda Haoni Chongo Atasema Kengeza
Hapo Bila Shaka Mpo Zaidi Ya Mmoja Kinachofanyika
Anawatazama Huku Akipokea Pesa Zenu Kwa Njia Ya Mitandao.

Fanya Hivi Wewe Ni Donar Country (Unamtumia Pesa)
Acha Kufanya Hivyo Ana Wengine,
Wewe Ukituma Pesa Mwingine Ya Kutolea

Hujajua Wanaume 10 Wanaweza Kuombwa Tshs 5000
Ukaona Ndogo Wote Mkatoa
Hapo Hakuna Mchumba Zaidi Sana
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚
 
Hujawahi kuwa na ke kabla yake? Maana inaonekana ulazimisha mbuzi kunywa maji . Kiufupi hakutaki tafuta ke mwingine lakini si wa kusini ushauri wangu huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…