Huyu mwanamke simwelewi

mtumie uyo rafiki yake alye kuwa anamsimulia akufanikishie mambo
 
Una kama mwaka umeajiriwa, then una mwaka hujakubaliwa!!!!!
Ulitakiwa usubiri aingie King mwenyewe
 
Hongera kwa kusifiwa u handsome boy... Nadhani ndo point ya msingi hii ulitaka tufaham
 
achana naye fanya issue zako huo muda unaopoteza utakuja kujuta!
 
HUWEZI KUIMBISHA MWAKA MZIMA UNAFUKUZIA DEMU?
NTAFUTE NIKUPE MISTARI YENYE VINA
 
Mualike dinner weekend ijayo sehemu iliyotulia na yenye mandhari ya kuvutia na ufanye mtongozo wa nguvu wakati mnajichana kuanzia appetizer, meal kisha dessert. Kila la heri usisahau mrejesho.

 
Ungeweka kapicha kako tukathibitisha kama kweli wewe ni hendisamu isije ikawa huyo demu ni bingwa wa rivasi
 
we wa wapi ndugu? hv maisha aya kuna kijana anayefukuzia dem mwaka? inaonekana huna kazi za kufanya ww
 
huon kama unatutia aibu watoto wa kiume wenzio? dem gan wa kufukuzia mwaka mzima ?
 
Weka picha hapa kutuonesha unavyofukuzia. Vinginevyo unatuongopea
 
Madem n wengi unapoteza muda tu na huyo achana naye demu anatongozwa mara 3 tu ya kwanza unajenga mahusiano ya 2 unamwambia hitaji lako ya 3 unafanyia kazi ya 1 na ya 2 kwisha
 
Hivi bado kuna kutongozana siku hizi??
Vitendo vinaongea zaidi baba.
Nenda taratibu na strategically.
Ulitakiwa uanze kumuonesha vitendo kabla ya kuanza kumtongoza.
Kuwa karibu naye zaidi na mwisho utakula tunda kimya kimya.
Mambo ya kusubiria ujibiwe nimekukubali yalishapita
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…