Huyu mwanamke simwelewi kabisa,kabla ya tukio pendwa huniforce nimwekee wimbo wa "bwana nipe pesa"

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,465
Huyu mwanamke anadhamira gani?licha ya kujitoa kwa hali na mali kwake lakini bado ananipa masherti ya kunipangia wimbo.
Na wakati huu wimbo ukipigwa hunishika mashavuni na kunitazama usoni,kwa kweli nataka nifanye maamuzi magumu ya red card.
Sienjoy kabisa mawazo yote yanakuwa kwa "bwana nipe pesa"
Indeed katai is masai,katai can tie a tie and untie a tie
 
huyo anataka kuhongwa ila anashindwa jinsi ya kukwambia...atakuwa anamiaka 15.
 
super mazembe hao

umefanya niusikilize tena
kisha nimecheka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom