Huyu mwanamke simuelewi!!

Huyu mwanamke simuelewi!!

Joined
May 8, 2017
Posts
61
Reaction score
45
Nimekuwa kwenye mapenz na binti mmoja HV rika langu kabisa,mwanzoni tulipendana sana kipindi tuko mwaka wa kwanza chuoni tukikaa kwenye hostel za vyuo vyetu.Kwa hyo hata kugegedana ilkuwa tunakwenda guest tunamalizana tu fresh,huu mchezo uliendelea kwa miezi kadhaa kama nane HV.

Kilichonifanya nije niwaandikie waraka huu na kuomba ushaur n kwamba miez miwili iliyopita tuligombana mm na mpenz wangu mpk yy akaamua kusema hanitak tena ,amenichoka,kila MTU ashike zake,kiukweli mm nilikuwa bado namuhitaj huyu mwanamke sana tu na nilijitahd kumuomba msamaha japo wote tulikoseana lkn alikataa katakata kurudiana na mm. Mwez ujao tunaingia mwaka wa pili kwa hyo kila MTU imembidi kupanga chumba mtaani,nimemuomba turudiane ila amekataa lkn akaniambia kwamba nikishahamia getho kwangu rasmi atakuja kwangu kunielekeza kupika na akasema atalala kwangu,mm kuskia HVO nikajua labda kanisamehe so anataka turudiane lkn nilipomwambia suala LA kurudiana akakataa katukatu ila kuja kulala kwangu amesema atakuja hasa kunielekeza namna ya kupika msosi maana mm kiukweli sjui kuandaa diko. Kiukweli nashindwa kumuelewa maana inakuwaje aje kulala kwangu wakat kakataa kurudiana na mm?? Kama ingekuwa n kunifundisha mapishi angekuja mchana siku za weekend lkn yy anataka usiku , binafsi nimeshindwa kujua nn lengo lake hasa ila kumkatalia nimeshindwa ,na akija tutalala kama kaka na Dada au itakuwaje? ,so wadau mnipe mawazo maana nashindwa kumuelewa huyu mtoto.
 
Hamna la kukushauri endelea na maisha yako
 
Wanaume wa dsm bhna hivi lini mtabadirika jaman
 
Una miaka mingapi? Nisije nikakupa ushauri wa kiutu uzima kuliko umri...wako
 
Wanaume wa Dar wanamatatizo sana....
 
Ukiona hivyo hujui kusonga ugali na wali wunautia ndimu, kubali kupewa darsa la bure, kwa sisi waelewa tunajua huyo binti amemaanisha "Wewe ni mbovu kitandani" POLE
 
Kaka unazjua friend match???? zile mechi za kirafiki zisizo na faida zzte yaani ata ukishinda huchukui kombe.....ndo izo ss...we kazana tu kucheza nae izo match kiwango kitapanda kwny rank ya dunia lkn kombe hutopata
 
Mkuu huyo kimbiza anataka aondoke na dushe lako, blv me hapo either aondoke na goli au kipa.
 
Muelewe tuu au subiri ukishahamia huko akiwa anakuja kukufundisha ndo utaelewa anamaanisha nini!
 
Ulifauli mitihani yako ya mwaka wa kwanza kwa kuangalizia au kwa kuingia na vibomu.

Nakuhakikishia ukiendelea kufikiri kitoto toto namna hiyo uta-disco.
 
Hawajawahi kuwa straight hao viumbe,ninunulie maji=yaani leo najisikia kiu sana sijui kwanini,nitakuja kwako ila nitakaa saa 1 tu =nitakuja kwako ngoja nipate mda...inaaminika kila kauli yao ina maana yake hata ile ya kipuuzi kbs.....
 
Unaonekana unambana sana mkuu! Fungua hilo ndonga lako! Anataka muwe sex partner! Sio wapenzi! What a golden chance mkuu! Changamka acha kulialia na mapenzi bhana maintain GPA kwanza mtaani kugumu mnooo kwa GPA za gentleman
 
Ukiona hivyo hujui kusonga ugali na wali wunautia ndimu, kubali kupewa darsa la bure, kwa sisi waelewa tunajua huyo binti amemaanisha "Wewe ni mbovu kitandani" POLE
Wanaume wa dar ndo mana tunachekwa kila cku. yan jambo dogo tu kaxindwa kuelewa.
 
Back
Top Bottom