Huyu mwanamke simuelewi, naomba ushauri

1. Sio bikra coz mi mwenyewe nishagegeda
2. Hapana. Simu inaweza kuwa kimya hata nusu saa. Labda kama anaweka silent.
3. Huwa anakimbilia kusema "basi endelea navyotaka mwenyewe"
Sitamwambia kama nampiga chini ila ataisoma namba tu na sitamwambia kosa lake.
 
Mkuu kama saivi haumwamini mweke pembeni.Ukimwoa utapata tabu.

Kumbuka kipindi kile mahusiano yalivyovurugika pia, it's like hakua anakujali hadi ulivyoonesha kumuacha ndio akashtuka.Sina uhakika kama anakupenda kutokana na sababu zifuatazo:

1. Maongezi yake kama ulivyosema mwenyewe hayaproject maisha yenu kama mme na mke.Bado anaona uwezekano wa kuolewa na mtu mwingine.

2. Inaonekana familia yao inautaratibu wa kumchagulia mtoto wa kike mme na ninachokiona ni kwamba ikitokea wazazi wake wanamchagulia mtu atawasikiliza wazazi.
 
Mkaushie kama wiki hivi. Kama anakupenda ataanza kutuma sms/kupiga. Ukiona kimy'a tafuta mwingine hakuna kitu hapo. Mtu ukimpenda/pendwa unakuwa/anakuwa na wivu siku zote. Kitendo cha mtu kukukaushia wiki moja nzima moyo unaweza kuchomoka
 
Mchumba wako, ambae ni mkeowako mtarajiwa, ni mpenzi wa mtu mwingine, wakati anamegwa na mwanachuo mwenzake, na wakati huo namkuka wakati wa likizo akikuja likizo huku Ushirombo ...[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Hivi wewe jamaa upo kweli ushirombo? Vipi shamba la nyege kwema?
 
Hivi wewe jamaa upo kweli ushirombo? Vipi shamba la nyege kwema?
Ndio mkuu, mimi nipo hapa Ushirombo kamili. Na juzi nilipita pale Runzewe nikapata mbuzi choma, nilikua nikitokea Nyampalahala.
Karibu sana huku mkuu
 
Nahc km umeshajishauri mwenyew ila swali tu la kimtambuka hv Umewah kuteleza nae?!!
 
Ndio mkuu, mimi nipo hapa Ushirombo kamili. Na juzi nilipita pale Runzewe nikapata mbuzi choma, nilikua nikitokea Nyampalahala.
Karibu sana huku mkuu
Miaka mitano iliyopita nililala Runzewe hapo, aisee mji una vituko huo nyakati za usiku daah!! Maambukizi ya UKIMWI yapoje hapo?
 
Well said
 
Vitoto vya chuo pasua kichwa muache akimaliza apigike mtaani atashika adabu sahivi hawezi kuelewa wengi kichwa upepo wanapotezwa na marafiki usikute hapo anadanganywa mchague anayetoka ulaya atakuwa mambo super huyo kama huna haja ya kuoa karibuni endelea kusubiri mana kama embe hilo halijakomaa vizuri linahitaji kulingoja pia hakuna watu wabaya kama wanaojificha kwenye dini utakuja kulia
 
yani ushapenda mpaka basi yani af unazuga tukupe ushauri na unaju ahuwezi muaca japo anakuchezea akili......endelea kupenda aisee Mwanaume hupenda mke wake tu ..akiwa mchumba siiti kupenda....ila ni anamchagua mtu out of kadhaa ndio anamuoa af anampenda ....we usije jiua tu baadae....maan aunajitia huemuelewi wakati ashakuweka wazi kwa matendo...af unataka umuambie tuachane ili iweje...we sepa kimya kimya acha hizo
 
sepa mapema kabla hayo mawazo hayajawa matendo!
 
Asanteni wote kwa ushauri. Nayafanyia kazi. Update tu....mwanafunzi wangu alikuja this weekend.
 
Ushauriwe nini wakati tayari una maamuzi!?
 
[emoji2] just in case, na hyo ni probability.
 
Kuna mambo munatakiwa mukae chini na muyajadili na kuyaongea kwa marefu, then kila mmoja ataamua ipi ni njia sahihi,.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…